nhif

The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.

View More On Wikipedia.org
  1. Ofisi za NHIF Mwanza ziko sehemu gani?

    Wakuu nataka nikakate Bima ya kulipia sijaajiriwa na mfanyabiashara!! Naombeni msaada wa maelekezo ili nifike hapo
  2. Ni muda muhafaka sasa wa NHIF ikabidhiwe kwa management ya kukodi kutoka ulaya, sisi tumeshindwa

    Nimefikiria sana kuhusu muarobaini wa NHIF, nimeangalia mradi wa mabasi Udart nimeangalia bandari nimepata conclusion sisi tuna tatizo kubwa sana kuliko tunavyofikiria. Ukianza kufuatilia vitu sensitive kama huduma za afya utagunduwa NHIF imeshashindwa majukumu yake na solution pekee ni...
  3. Kuhusu NHIF

    WApendwa ni hospitali ngapi kwa sasa zimebaki kuhudumia wagonjwa ukiwa na kadi ya nhif
  4. L

    Hivi kweli dawa ambazo pharmacy nauziwa sh8000, nikiwa mwanachama wa NHIF sizipati hospitalini?

    Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi. Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za siku 14 kwani Serikali hairuhusu hivyo akaniandikia siku7. Wakati anaandika akadai kuwa itabidi...
  5. KERO Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Mhe. Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wa Afya, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Sisi, wadau wa sekta ya afya nchini Tanzania, tunakuandikia barua hii kwa nia ya kuwasilisha...
  6. Kero ya kuchelewa kuhuishwa kwa kadi za NHIF kwa wanafunzi wanufaika wa Mkopo toka HESLB.

    Habari. Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated. CHANZO CHA TATIZO Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa...
  7. Matatizo ya NHIF yalianzia Kwa Maamuzi Mabovu na Ummy Mwalimu Mwenyewe mwaka 2016

    Ummy Mwalimu aliteuliwa kuwa Waziri Nov 2015, ndani ya miezi 7 akaamuru Bodi ya NHIF iwafukuze kazi Wakurugenzi/ Wakuu wa Vitengo wote pamoja na DG wao kwa tuhuma za uwongo. Katika hiyo timu ya Wagurugenzi 9, nusu yao walikuwapo kuanzia NHIF ilipoanzishwa mwaka 2003, wamekuwa na Mfuko hadi...
  8. Tetesi: Sakata la Ulaji NHIF limemwondoa Ummy?

    Tetesi mitaani ni kwamba Ummy alishindwa kabisa ku manage fungu la fedha ndani ya NHIF. Agha Khan walimvimbia na kuikataa NHIF kwa vile hawalipii huduma inayotolewa kwa wateja/wagonjwa walio dhaminiwa na NHIF. Sakata nyuma ya skandali nzima ni kwamba waziri alilishwa asali na NHIF wakati...
  9. Upungufu wa funds au fedha ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF siyo shida ya kiungozi ndani ya mfuko

    Upungufu wa fedha za kutosha NHIF ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF , hiki ndicho husababisha Hizi sababu za kukopeshana ili kuboresha maisha ya watumishi ,ufisadi hata hizo pesa zikirudi Mfuko hauwezi kujisimamia na cha zikaisha Serikali iangalie utaaratibu wa kuongezea mfuko fedha...
  10. Jenista Karibu Afya:; Fanya Haya Kwa NHIF

    Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:- 1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na...
  11. Mkurugenzi NHIF alikabidhi ofisi Agosti 9, Serikali ilikuwa imeshajipanga kuzuia maandaano ya BAVICHA?

    Barua hii inaonesha kulikuwa maelezo ya Bernard H. Konga kuachia nafasi hiyo yametoka mapema, kama jamaa wa JF aliyesema teuzi zinakuja kutondoa kwenye reli kwenye suala la binti wa yombo na sekeseke la akina Lissu Unafikiri nini kilitokea huko ndani mpaka mkeka ukachanika? Soma Pia: Baada ya...
  12. Aga Khan kuachana na NHIF watu wanapiga kelele ila Serikali kufuta Bima ya Toto Afya Kadi hawaoni tatizo

    Katika mitandao ya kijamii kuna hili la The Aga Khan Hospital linatajwa ila watu wanasahau mapema sana. Tukumbushane kidogo tarehe Machi 13, 2023 kutokea Dodoma, tulipata ujumbe huu kupitia vyombo vya habari ukisema. "MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA...
  13. G

    DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  14. NHIF yasema huduma zitaendelea kutolewa Hospitali ya Aga Khan hadi itakapotangazwa tofauti

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo. Hatua hii ni inatokana na Serikali kupitia Wizara ha Afya kuendelea na mazungumzo na...
  15. Nadhani kabla ya kuwalaumu NHIF ni bora kuyajua na kujiuliza haya

    Habari JF , binafsi ni mnufaika wa mfuko wa Taifa wa bima NHIF niseme sijawahi jilaumu kwa kujiunga humu kulingana na michango na huduma nazo zipata . Tumesikia mengi sana kuhusu NHIF na inawezekana kabisa kukawa na ubadhilifu kutoka kwa watumishi wa NHIF . Tumesikia bila ushahidi kuwa Serikali...
  16. Tetesi: NMB, CRDB, TRA, TANESCO, TPA na wadau wengine wa "Executive Category" kujitoa NHIF.

    Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF. Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
  17. E

    Baada ya Bernard konga kamaliza muda wake kama mkurugemzi mkuu NHIF tunashauri na tutegemee nini tunapoelekea kupata DG mpya?

    Aliyekuwa mkurugemzi mkuu NHIF , Bernard konga kamaliza muda wake na nafasi yake amekaimu Grace Temba . Nini tutegemee katika huu mfuko wa Taifa ambao Changamoto haizawahi kuisha Na tushauri nini kwa Uongozi mpya au tunaokwenda kupata ?
  18. NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    HUZUNI KUBWA. --- YAH: TAARIFA KUHUSU KUSITISHA HUDUMA KWA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYA AGA KHAN Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu 2. Mfuko husajili vituo vya kutolea huduma za afya kuwawezesha wanufaika wake kupata huduma hizo nchi nzima. Hadi sasa Mfuko umesajili jumla ya vituo...
  19. L

    KERO NHIF wanapaswa kujua sio kila mtegemezi anafanana majina sawa na mchangiaji hasa upande wa wazazi

    Juzi nimejaribu kujaza taarifa za wazazi ili waweze kupata bima ya afya lakini nilirudishwa kwa sababu zifuatazo: Majina ya mama anatumia majina ya baba baada ya kufunga Ndoa. Majina ya Baba yalikosewa NIDA badala ya kuitwa SAMWEL likandikwa SAMUEL. NHIF wamesau hata kuwa bima ya afya ni...
  20. Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…