Pata ongezeko la wateja, brand awareness, kuza biashara zako na mtalaam hapa mambo ya mitandao ya kijamii na Masoko kiujumla.
Faida za kuwa na social media + marketing manager
1. Nasimamia akaunti zako zote za mitandao ya kijamaa ya baishara yako, kama kuweka bidhaa/ huduma zako, kuwaelezea...