salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    EDO KUMWEMBE:: Air Manula wala asiwe na wasiwasi nafasi yake ipo salama

    UNAPOKUWA Aishi Manula nyakati hizi unakuwa na wasiwasi mwingi. Wakati upo kwako Kitunda unaambiwa kwamba Simba imepeleka golikipa kutoka Brazil katika kambi yao ya Uturuki. Moyo wako unapatwa na wasiwasi. Hakuna mwanadamu ambaye hana hofu na kazi yake. kazi ni maisha. Kazi ni kila kitu. Lazima...
  2. Naomba kujuzwa njia sahihi na salama ya kutoa Ujauzito (abortion)

    Wasalam wadau , Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni. Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
  3. SoC03 Kutenganisha taka kutarahisisha urejelezaji na ushughulikiaji salama wa taka ili kuokoa mazingira

    Kutenganisha taka kutarahisisha urejelezaji na ushughulikiaji salama wa taka ili kuokoa mazingira Taka ni tatizo kubwa. kila mwaka kuna kiwango kikubwa cha taka kinaingia katika mazingira. Hali hii inaleta athari kubwa kwa viumbe pamoja na mimea duniani. Kwa mfano karatasi za nailoni...
  4. CHADEMA hamtabaki salama na dhambi hii mnayoitenda-itawarudia kwa kasi ya 5g

    Hakuna ubishi kuwa CHADEMA iliishi maisha ya mateso sana mara baada ya uchaguzi wa Rais 2015. Hakuna rangi ambayo hawakuiona, kuanzia chama chenyewe hadi wanachama na viongozi wake. Tunaopenda na kujali utu, tulisikitishwa sana na mateso waliokuwa wakiyapata CHADEMA. Waswahili wanasema Mungu si...
  5. 5

    Russia si salama tena Drones ndani ya Moscow

    Mtakumbuka Urusi alisema Ukraine asijaribu kushambulia Urusi itazalisha vita ya 3 ya dunia.,
  6. Anga ya Urusi sio salama, wasitisha maonyesho ya ubabe wa ndege zao

    Kila mwaka Urusi hufanya maonyesho ya ubabe wa ndege zao, ila mwaka huu imebidi waghairi maana anga yao sio salama, drones za Ukraine zimekua zinatamba hadi ikulu, hivyo hamna namna... Yet another blow has been dealt against Vladimir Putin's authority as the risk of drone strikes pummelling...
  7. SoC03 Hospitali Hazipaswi kuwa na Upungufu wa Damu Salama

    Utangulizi Kwa muda mrefu nimekuwa nasikia kampeni ya kuchangia damu kwa hiari kwa ajili ya kuwekeza katika Benki ya Damu Salama, kwa ajili ya kuwaongezea wagonjwa (wenye uhitaji huo) mahospitalini. Katika pita pita yangu, nimebahatika kuchangia damu kwa hiari mara mbili. Hivi karibuni...
  8. Rais Samia yuko tested kila rais alipitia majaribu na tukavuka salama

    1. JULIUS KAMBARAGE NYERERE. Majaribu ya vita ya Kagera kukoswakoswa mapinduzi na hatimae uchumi kudorora miaka ya 80s. 2. ALI HASSAN MWINYI. Mabucha ya nguruwe wabunge wa G55 na vuguvugu la mabadiliko ya vyama vingi. 3. BENJAMIN WILLIUM MKAPA. Mauwaji ya mwembe chai almanusura vita ya...
  9. Z

    Kwa nini NSSSF isichue bandari ya Dar es Salaam?

    Ninachojua NSSSF Ina hela nyingi Inashindwaje kuchukua biashara muhimu ya bandari ya Dar es Salaam? Tusipende kuwainua mataifa mengine kuliko sisi. Hata sisi tunaweza, kuna mijengo ya matrillioni ya NSSSF, wanashindwa kununua mitambo ya kunyanyua makontena?
  10. Mbia anayejihami kwa nguvu kubwa, mara nyingi si Mbia salama

    BAADHI YA VIFUNGU VILIVYOPO KATIKA MKATABA HUU. 1. TANZANIA HAIRUHUSIWI KUJITOA KWENYE MKATABA Ibara ya 23(4) ya mkataba huo inakataza wahusika wa mkataba ambao ni serikali ya Tanzania na Kampuni mwekezaji DPW kujitoa(Denounce) katika mkataba, Kuvunja, Kuahirisha(suspend), au...
  11. R

    Umeanguka ewe Bandari salama, u wapi uzuri wako?

    Yesu Kristo Messiah alipowafundisha wanafunzi wake kusali, ninaquote moja ya kifungu kimoja katika Sala hiyo kisemacho, "USITUTIE MAJARIBUNI, BALI UTUOKOE NA YULE MWOVU, AMEN." Kwa kimombo, DO NOT LEAD US INTO TEMPTATION, BUT RESQUE US FROM EVIL ONE, AMEN. Rabbi Yeshua amachiah alitufundisha...
  12. Serikali yabainisha mikakati ya kupambana na changamoto ya utoaji wa mimba usio salama

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amebainisha juhudi zinazofanywa na Wizara ya Afya katika mapambano dhidi ya changamoto ya utoaji mimba usio salama ikiwemo, kutoa elimu juu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike ambao wapo chini ya umri wa kuzaa. Dkt. Mollel amesema hayo leo Juni 2, 2023...
  13. Maziwa Yasiyo Salama ni Hatari kwa Mlaji

    NAIBU WAZIRI SILINDE - MAZIWA YASIYO SALAMA NI HATARI KWA MLAJI Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde ameonya kuwa matumizi ya maziwa yasiyo salama huhatarisha maisha ya mlaji kutokana na kutumika kama njia ya kusafirisha magonjwa ya mifugo kwenda binadamu. Mhe. Silinde amesema...
  14. USM Alger waishitaki Yanga kwa kupuliziwa hewa isiyo salama vyumbani

    Taarifa inayosambaa ni kuwa Klabu Bingwa mtarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF, USM Alger wameishitaki Yanga kwa shutuma za kuwapulizia hewa isiyo salama katika vyumba vyao vya mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa. Pia taarifa zingine zinasema USM Algers walitishia kutoendelea na mechi hiyo ya...
  15. Salamu toka kwa Balozi Polepole

    Huyu jamaa anajielewa sana sema watu fulani wanamchukulia poa tu. Ipo siku atakuwa pale.
  16. Vifaa vya maji safi na salama vyakabidhiwa Jimbo la Gando

    JIMBO LA GANDO KUNUFAIKA NA VIFAA VYA MAJI SAFI NA SALAMA Mbunge wa Jimbo la Gando Mhe. Salim Mussa Omar amesema kwamba amemtuma Katibu wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Gando Ndugu Mshani Ali Kachinga kukabidhi vifaa mbalimbali vya Maji katika Shehia tano vyenye thamani ya Shilingi Milioni...
  17. Ripoti ya Moody: Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Taasisi ya Uwekezaji ya Kimarekani ya Moody's imeipa Tanzania tathmini chanya kiuchumi kutokana na sera bora za uwekezaji hususani baada ya kuboreshwa kwa mazingira ya sekta ya madini. Ripoti ya Moody's inatuma ujumbe chanya kwa wawekezaji kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais...
  18. Lala salama Hayati Magufuli hukuwahi Kudharaulika na Watendaji wako, Uliogopwa Kiufanisi, nchi ilienda na tulinyooka vilivyo

    Wewe Mwenyewe kwa kutaka Sifa kwa tuliokuwa tukikusikiliza na kumuonyesha aliyekuwa Juu yako alikuwa hafai ulisema hutokuwa Mkali na Bandidu na utatudekeza sasa leo unalialia nini kuwa Unadharaulika na Watendaji wako tena uliowateua Mwenyewe? Wenye Akili Kubwa hapa tunaona unatupigia tu Kelele...
  19. Watoto wakiendelea kupewa elimu ya kujikinga na ukatili watakuwa salama

    Hii sijui ni shule gani mwalimu ameamua kutoa elimu kwa watoto juu ya ukatili wanaoweza kufanyiwa ni jambo jema sana katika kupambana na ubakaji na ulawiti kwa watoto, ni jambo linalopaswa kuigwa na shule zote pamoja na wazazi wote, tuweke aibu pembeni tuwaelelze ukweli watoto ili kuwanusuru na...
  20. K

    Zuio la Mapadri kutokuoa ndiyo salama ya Kanisa Katoliki

    Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza kwamba kanisa Katoliki linawezaje kuthibiti migogoro ndani yake? Hata kama ipo ni ngumu kuisikia mtaani kiasi cha kutitishia ustawi wa kanisa hilo, baadae nikapata jibu japo si la moja kwa moja kwamba yafuatayo yanalifanya kanisa kuwa salama; Elimu iliyotukuka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…