Habari zenu,
TaiwanICDF Scholarships zimefunguliwa kwa sasa.
Ni full funded kwa masters na PhD
Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search TaiwanICDF scholarships, utakuta maelezo yote pale.
Kama utakwama sehemu wakati wa application nitafute Whatsapp kwa...