siasa za upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Saidi Miraji: CCM ikipunguza mkosa upinzani nchini Tanzania utakosa sera

    Mwalimu Julius Nyerere alisema Vyama vya upinzani vinawekeza kutokana na mapungufu ya CCM na siku CCM Ikipunguza kufanya makosa baadhi ya Vyama vitakosa sera. Alikuwa akisisitiza sana Vyama vijikite katika kutengeneza sera. Ukichunguza Vyama vya NCCR MAGEUZI, CUF, CHADEMA wengi wamepata nguvu...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeff Koinange amkabili Cleophas Malala Live Citizen TV, Mjadala wawasha moto kuhusu Siasa za Upinzani

    Mjadala mkali umeibuka katika kipindi cha In the House of DCP kilichopeperushwa na Citizen TV, ambapo mwanahabari Jeff Koinange alimhoji Naibu Kiongozi wa Democratic Party of Kenya (DCP), Cleophas Malala, kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa nchini. Katika mahojiano hayo ya ana kwa ana, Malala...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni moyo wa siasa za upinzani! Inaongoza harakati, hawana tamaa ya asali na si waoga. Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, CHADEMA ingepotea

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  7. JamiiForums Tanzania CCM wawasifia Mbowe, Mrema kwa “upinzani mkali”

    Katibu wa NEC Organaizesheni ya Chama cha Mapinduzi CCM Paul Matiko Chacha amesema kwa sasa nchini hakuna upinzani wenye nguvu kama ilivyokuwa miaka ya nyuma akitolea mfano wa upinzani wa Agustino Lyatonga Mrema(aliyewahi kuwa mgombea Urais kupitia NCCR Mageuzi) Freeman Mbowe, Dkt. Wilbroad Slaa...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa za upinzani na maneno ya tumaini vs kiboko ya wachawi na ukristo wake.

    Watu wapo kazini katika kutafuta riziki kwa maneno matamu matamu yenye matumaini kwa wale waliokata tamaa,wanaofikiri pengine kubadilika kwa serekali huenda watafadika kwa namna fulani na maisha yao kubadilika/ vs maneno ya nabii kiboko ya wachawi juu ya kuwapatia watu maneno yenye tumaini ya...
  9. JamiiForums Tanzania Siasa za Upinzani ni lazima ziwe zile zinazowalazimisha CCM waendelee Kuteka na kuua, Kuzuia Vyama au Kuvifuta, Kuwafunga jela Wapinzani n.k

    Mnajua Maji ya shingo? Au ile tunasema Kupumulia mashine ? Hiyo ndio Hali ya CCM ilivyo kwa sasa. CCM kwa sasa ímeichafua NCHI kwa Matendo yake, Dunia yote inawamulika CCM. Hamjui Kuna wàna CCM wameficha Hela na Mali zao Njé ya NCHI?. .... Sasa hili ndio Kundi la Hatari ambalo hata Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa za maridhiano zimeua siasa za upinzani Zanzibar, leo hii Zanzibar ni nchi ya chama kimoja

    Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani chini ukimwacha Marehemu Maalim Seif Sharfifu Hamadi

    Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi. Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano. Kwa sasa Chadema imetekwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kusambaratika kwa CHADEMA, siasa za upinzani nchini zimebadlika

    Zimeimarika sana na kua za kistaarabu. Hakuna tena uropokaji unakiuka sheria, hakuna tena mikutano ya hadhara ya fujo na matusi, hakuna tena mfululizo wa mikutano ya kamati kuu Chadema na press conference za matamko, kutafuta tension na public sympathy n.k. Upinzani sasa wanafanya kazi zao za...
  13. JamiiForums Tanzania Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

    Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe na hofu ya kujitokeza hadharani na kutoa maoni yao, lakini pia hilo ni jambo linalowafanya...
  14. JamiiForums Tanzania Licha ya demokrasia kusitawi sana Tanazania, Je, kinachoonekana kwenye siasa za upinzani ni CHADEMA kujitenga yenyewe au imetengwa na upinzani?

    Na je, Chadema inafanya siasa kweli? Sote ni mashahidi, uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujikite kujitafutia vipato, hata wakituita Kenge, wajinga, misukule tunaishia kulalamika nyuma ya keyboard, Tafuta Pesa siasa utaumia !

    Ok umeitwa Kenge, wapo waliowahi kuwaita wajinga, wapo wataokuja kutuita nyani, misukule, n.k. Hayo majina tuyazoee tu, sioni kama kuna haja ya kukasirika, unakasirika then what ? unakimbilia kutoa hasira zako nyuma ya keybpard ka account feki ? Tutafute Pesa, Siasa Utaumia,
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kurudi kwa Dk. Wilibrod Slaa CHADEMA kunaashiria nini katika Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mbeya, Tanzania – Machi 23, 2025 – Katika hatua muhimu kwa upinzani wa Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais wa chama hicho mwaka 2010, amejiunga tena na chama. Hafla hiyo, iliyofanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe huko Mbeya, ilishuhudia...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za upinzani zimefikia kilele kwa CHADEMA, hakuna mbadala wake

    Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho kikapotea katika ramani ikafuatia CHADEMA ambayo imekuwa chama kikuu cha upinzani kwa karibia miaka 15...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mjumbe hata moja wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa anaweza kushawishiwa na Dkt. Wilbroad Peter Slaa?

    Kwamfano, Nani anaweza kumuamini Dr. Slaa kwasasa au kushawishika na aina ya siasa zake, maoni na mtazamo wake uloshikiliwa na diasporas, Lakini pia maisha ya kisaliti kwasababu tu ya tamaa za kimwili, vyeo na mali? Hivi kuna kijana yoyote Tanzania anaweza kujitokeza, akajipiga kifua mbele ya...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ni akili kubwa sana, ghafla kamtoa Mbowe kwenye ulingo wa siasa za upinzani

    Kweli siasa ni sayansi, anachokifanya Lissu ni sayansi ya siasa, inahitaji akili zaidi kuliko nguvu, pesa au ujanja ujanja. Nani anaweza kuamini kuwa leo hii Mbowe tayari yuko nje wa mkondo wa siasa za upinzani? Yote hayo ni matokeo ya harakati za Tundu Lissu katika kuwania uenyekiti wa...
  20. JamiiForums Tanzania "Hadithi za Ushujaa: Wajibu wa Wanaharakati katika Siasa za Upinzani"

    👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa na dhamira isiyoyumbishwa, wanapambana na vikwazo vya kisiasa, kiuchumi, na kijamii, wakijitolea kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…