simu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtandao wa Twitter Unakataa kufunguka Kwenye Simu yangu?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale . Ila naona unagoma. Kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Ushawahi zurura kweny simu yako ukakuta neno "NFC" au watumia infinix okay

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaotuma na kupokea pesa kwa mitandao ya Simu waongezeka

    WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
  4. JamiiForums Tanzania Kama kuna yeyote anahitaji fremu ya wakala wa bemki ns mitandao ya simu, kuna fursa hapa

    Kama kuna Mtu anahitaji Sehemu ya kufanyia biashara ya UWAKALA ana mtaji wa Kutosha ila tu Sehemu ya kufanyia Biashara hiyo hakua nayo, Basi Suluhisho lipo hapa. Mwanzo ni mgumu hasa kwa Mtu ambae una Mtaji Tu gharama kubwa ni upande wa Vifaa au Vitendea kazi. Nipo Hapa kumpa Taarifa Mtu anae...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Huu ni mwisho wa ubunifu mpya kwenye simu?

    Za Weekend Wakuu! Matoleo mapya ya simu tofauti katika miaka ya karibuni imenipa tafakari hii, kwamba hakuna features mpya kulinganisha na miaka ya nyuma kabla ya iOS na Android, na miaka ya mwanzo ya iphone 2007. Je, unakumbuka enzi zile kila mtu alikuwa na simu tofauti na ya mwenzake, kila...
  6. JamiiForums Tanzania Nipo tayari kuja kulaumiwa na watoto wangu lakini si kuchukua simu na kumpigia mama yao

    Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini kuna namba za simu za kimataifa (international dialing codes) soma hapa.

    Namba za Simu za Kimataifa ni Nini? Namba za kimataifa ni viambishi namba vinavyowekwa mwanzo wa namba ya simu unapopiga kutoka nchi moja kwenda nyingine. Mfano: Ukitaka kupiga kutoka Tanzania kwenda Marekani, unaanza na +1 (ambayo ni code ya Marekani), halafu unafuata na namba ya mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Inauzwa Simu Vivo X7 RAM 4GB kwa 64GB

    Simu aina ya Vivo X7 Dual simCard 4G 📶 Ram 4Gb 🛠️ Rom 64 ⚙️ Camera safi 📸 Touch ID ✅ Tsh 95,000/= Arusha Town 0712350159
  9. JamiiForums Tanzania Una picha ipi nzuri kwenye simu yako

  10. JamiiForums Tanzania Machimbo ya kulangulia Simu used za Batani (simu ndogo)

    Habari za majukumu wanajamvi!? Natamani kufanya biashara ya simu used za batani ila sijui pa kuzilangulia na garama za kulangua mzigo zipoje, humu jamvini hakuna linaloshindikana kwahiyo Naomba mnijuze machimbo ninayoweza kupata mzigo.soko la kuuzia tayari ninalo......natanguliza shukran
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na simu za mikopo

    Wakuu habari yenu Naomba mwenye uelewa wa teknolojia ya namna ya kufanya biashara ya kukopesha simu . Nataka kufanya hii biashara ila nashindwa pa kuanzia. Natanguliza shukran
  12. JamiiForums Tanzania Tuambie kwanini huwa unazima simu usiku?

    Habari machalii… Leo nazungumza na jamaa zangu mnaozima simu ikifika usiku. Kwanini unapenda kuzima simu ikifika usiku? Ikitokea dharura watu wakitaka kukujulisha usiku huo watakupataje? Haya tuambie kwanini unapendelea kuzima simu?
  13. JamiiForums Tanzania Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie

    Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie, wakaamua kutu-actia. Maana sasa hivi ukiwa na bundle ni kama uko kwenye uhusiano wa long distance—upendo upo, mawasiliano hayapo! Unaamka asubuhi, unacheki simu: “Huna salio la kutosha kutuma ujumbe huu.”...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Pakistani tokea alipoenda kujificha kwenye handaki bila simu hadi leo hajulikani alipo.. Zawadi Nono atakayetoa taarifa.

    Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
  15. JamiiForums Tanzania Nimepiga simu NIDA makao makuu wananiambia kitambulisho kimeshatoka ila meseji sijapata

    Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na sura yangu inaonekana sio kwamba sionekani sura na...
  16. JamiiForums Tanzania Kupotea au kutekwa kwa Mdude: Njia 7 za kumtafuta kidigitali-jinsi minara ya simu za mkononi inavyoweza kutumika kumtafuta mtu aliyetoweka au kutekwa

    Katika dunia ya kisasa, teknolojia imekuwa chombo muhimu katika kusaidia juhudi za usalama na utafutaji wa watu waliopotea au kutekwa. Mojawapo ya teknolojia inayotumika sana ni minara ya simu za mkononi (cell towers). Minara hii inaweza kuwa msaada mkubwa katika kufuatilia harakati za mtu kabla...
  17. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu aliyeolewa kanipigia simu

    Kwanza ngoja kwanza nicheke, Ujue haijapita hata wiki maana kaolewa jmosi iliyo pita Mambo ni hivi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kuwa Mtumwa wa Simu Kila Siku

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
  19. JamiiForums Tanzania Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

    Baada ya simu yangu ya tecno kuharibika sikuona haja ya kupoteza hela kuipeleka kwa fundi kwa sababu nilikuwa nimeitumia kwa miaka mitatu hivyo nikaona ni bora tu nikatafute simu nyingine mpya ya kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…