soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elimu ya HISA: Mwongozo wa kuanza kuwekeza katika soko la hisa la Dar es Salaam

    1. UTANGULIZI Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Mitsubishi RVR-e. Jaribio jingine la Mitsubishi kuingia kwenye soko la EV

    Mitsubishi ni moja ya waanzilishi wa Magari ya Umeme (EV) ambapo mwaka 2009 alitoa Mitsubishi i-MiEV. Pamoja na kwamba mauzo hayakua ya kimapinduzi kama Nissan Leaf au Tesla, ila credits wacha apewe. Mbali na i-MiEV, pia alitoa Minicab EV na Eclipse Cross EV. Hayo tuyaache. Sasa, tuna RVR...
  3. JamiiForums Tanzania Hadithi hii 👇 katika Makuadi wa Soko Huria ya Chachage Seithy Chachage inatufundisha nini?

    Hadithi. Kila Jumapili, padri mmoja (nadhani kule mkoani Mara) alikuwa na utaratibu wake: akipanda baiskeli kwenda kanisani, alisimama chini ya mti fulani wa muembe na kujisaidia haja ndogo kama mnyama fungo. 😂 Siku moja, akamkuta mtoto juu ya mti. Akamwita ashuke, kisha akampa pesa za...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Masauni: Tanzania yalenga kuwa kitovu cha soko la kaboni Afrika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza wakati akifungua Jukwaa la Soko la Kaboni na Uwekezaji Tanzania 2026, lililofanyika Jijini Dar es Salaam, Oktoba 22, 2026. Dar es Salaam. Tanzania inalenga kuwa kitovu cha biashara ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa kigeni wabadilisha mbinu kuendesha biashara Kariakoo

    Wafanyabiashara wa kigeni wanaotuhumiwa kukiuka vizuizi vya Tanzania vinavyowazuia raia wa kigeni kuendesha baadhi ya biashara, wanadaiwa kubadilisha mbinu ili kuendelea kubaki katika soko lenye faida la Kariakoo. Wengine wanaripotiwa kutumia majina ya Watanzania kupata leseni za biashara, huku...
  7. JamiiForums Tanzania Masauni: Tanzania Yapiga Hatua Soko la Biashara ya Kaboni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Waziri wa Mazingira wa Rwanda Dkt. Bernadette Arakwiye mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Masoko ya Kaboni Afrika wa mwaka 2026 unaofanyika kwa siku mbili Kigali nchini Rwanda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanyabiashara wa Soko la Kilombero na Soko Kuu - Arusha: Hii Inawahusu

    Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light. Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
  9. JamiiForums Tanzania Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tiketi za SGR: Mtandao unaonyesha "seats full" wakati mabehewa yapo wazi, nani ananufaika na mkakati huu?

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mpanda: Vibanda vya machinga vyabomolewa soko la Kilimahewa, Katavi

    Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro. Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo...
  12. JamiiForums Tanzania Nyani katema bungo ; Trump akubaliana na Putin Urusi kuingiza tani zake za Diesel Marekani na kwenye soko la Dunia

    Moja kwa moja... Kutokana na Vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine Marekani na mataifa ya Ulaya wakaiwekea vikwavyo vingi Russia mpaka kwenye Gas na mafuta yao . Marekani na Trump wakawa wakali kwa mataifa ambayo yalikuwa yanaendekea kununua mafuta ya Russia mfano mzuri ni India ...
  13. JamiiForums Tanzania BYD ETT 44 Electric Truck inakuja kumchallenge Tesla Semi. Inabeba hadi Tani 44 na inatembea hadi Kilometa 600+ full charge.

    Tesla amezindua Electric Semi officially juzi juzi, na amesema zitakua sokoni kuanzia 2027. BYD nae ameleta ETT 44 Electric Truck, ambayo ni 4x2, inabeba hadi 44T, na Ina 980 HP. Inakuja na battery mbili, kubwa ikiwa ni 630 kWh inayotembea hadi 600 km ikiwa full charge, na unaweza kuchaji...
  14. JamiiForums Tanzania BYD wamezindua "kei car" ya Umeme special kwa soko la Japan - BYD Racco.

    BYD kujaribu kuingia soko la Japan, wamezindua "kei car" BYD Racco, kwenda kushindana na wakina Honda N, Nissan Roox, Nissan Sakura nk. Racco ni FWD 5 doors microvan inayokuja na battery la 22 kWh au 35 kWh, ambazo zinakupeleka Kilometa au full charge. Racco Ina power sliding doors, NFC...
  15. JamiiForums Tanzania Tutumie siku ya kahawa duniani Leo october Mosi kunywa kahawa kukuza soko la ndani

    Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana. Umuhimu wake kwa Soko la Ndani: 1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe...
  16. JamiiForums Tanzania Soko la sabasaba Mwanza lawaka moto

    Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika, Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026 umefanikiwa kudhibitiwa kwa jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi na wananchi. Tukio hilo la...
  17. JamiiForums Tanzania Moto mkubwa wateketeza soko la machinga Dodoma

    Moto mkubwa umetokea usiku wa kuamkia leo, Septemba 21, 2026 katika Soko la Machinga jijini Dodoma na kuteketeza vibanda pamoja na mali za wafanyabiashara, huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko hilo wamesema walianza kuona moshi kabla ya moto...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kutambulika kwa Kampuni za Tanzania katika Soko la Kimataifa

    Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata uwekezaji, kuingia katika ubia wa kimkakati na kushirikiana na kampuni kubwa kutoka nje ya nchi. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je kozi ya Information technology (it) Ina soko kwasasa?

    Nimechaguliwa kozi ya it, kwa wale wanayo ijua hii kozi naomba wani fafanulie kuhusu fursa zake za ajira pamoja na kujiajiri Kama inawezekana,pia naomba na ufafanuzi wa hii kozi kuhusu urahisi wake na ugumu wake katika kuisoma ukiwa chuo?
  20. JamiiForums Tanzania DC Godfrey Mnzava azindua msimu wa Saba Kahawa Festival na kusisitiza unywaji wa kahawa kukuza soko la ndani

    Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani . Uzinduzi huo umefanyika September 4,2026 kwenye makao makuu ya Bodi ya Kahawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…