stendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nini kimesababisha gharama za huduma ya choo Stendi ya Mbezi Louis ishuke kutoka Tsh. 500 hadi 200 tu?

    Tulilalamika sana tozo hii kubwa ya kutukumoa hapa Jamiiforums miaka mingi sana ila mkawa jeuri kwa kutoipunguza huku mkituambia kwa dharau nyingi kuwa kama hatuna hiyo Tsh. 500/- ya maliwatoni (chooni ) hapo tujikojolee/tujisaidie midomoni mwetu. Leo GENTAMYCINE nimeshikwa na butwaa kubwa na...
  2. Kigamboni hakuna Vituo vya Daladala vyenye kivuli, watusogezee na stendi ya magari ya mikoani pia

    Nilihamia Kigamboni miaka ya hivi karibuni, moja ya kitu ambacho kilikuwa kinanipa uwoga kuhamia pande hizi kwanza ni kuvuka maji na pili niliona kama kumekaa kushoto sana. Nashukuru Mungu uwoga wangu wa maji umepungua labda yawezekana kwa kuwa navuka sana baada ya kuhamia huku. Hilo la pili...
  3. O

    Rushwa ya ngono ilivyotamalaki Stendi ya Magufuli

    Dar es Salaam. Imeelezwa rushwa ya ngono katika mchakato wa upatikanaji kazi kwa wafanyakazi wa usafirishaji (mabasi) na kwa abiria waliokosa fedha za kujikimu katika kituo cha mabasi cha Magufuli ni miongoni mwa jinamizi linalotafuna katika stendi hiyo iliyopo Mbezi, jijini Dar es Salaam...
  4. Ni kweli kuwa Serikali haina fedha ya kuwajengea stendi ya mabasi ndugu zetu nshomile?

    Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na...
  5. K

    Stendi ya Mizigo Bariadi ya Bilioni moja, inakusanya Sh. 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa taifa? Angalieni hiki kituko, uko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  6. K

    Stendi ya Mizigo Bariadi ya Tsh. Bilioni moja, inakusanya Tsh 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa Taifa? Angalieni hiki kituko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  7. Stendi Kuu za Mabasi Kigoma na Kaliua- Mabwana Afya wajipime

    Salaamu Wakuu: Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sote tuitikie: Kazi Iendelee! Moja kwa moja kwenye mada. Mbali na utaratibu mzuri walionao uongozi wa stendi wa kuwaelekeza utaratibu wa hapo stendi wasafiri wanaotumia eneo hilo wakati wa alfajiri; bado Bwana Afya...
  8. DOKEZO Biashara kufanyika karibu kabisa na Barabara, Mbezi Mwisho karibu na Kituo cha Daladala ni hatari kwa usalama

    Hapa Mbezi Luis Stendi barabara ya kwenda Kinyerezi ilivyojaa msongamano wa machinga na bidhaa zao ambazo ziko kando ya barabara na kusababisha barabara kuzidi kuwa finyu licha ya wembamba wake tangu kutengenezwa, siku dereva yoyote akishindwa kulimudu gari likaenda pembeni litaua watu wengi...
  9. Wafanyabiashara Mwenge waliopisha ujenzi wa Stendi wadai wametupwa na Manispaa ya Kinondoni

    Baadhi ya Wafanyabiashara waliopisha mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Mwenge (Mwenge Bus Terminal) na kudai kuwa waliahidiwa kupewa kipaumbele baada ya mradi kukamilika, mambo hayajaenda kama walivyotarajia. Wamedai kuwa ahadi hiyo ilitolewa Mwaka 2019 baada ya Mkandarasi Mshauri kukabidhi...
  10. S

    Stendi ya Msamvu yashindwa kulipia hata umeme, ni giza Totoro!

    Stendi ya Msamvu hali ni mbaya kimapato licha ya uzuri na ubora wake. Menejimenti ya stendi hiyo yashindwa kulipia hata umeme. Abiria wanaporwa hovyo kwasababu ya giza lililotawala kwenye stendi hiyo. Kama vipi tumkabidhi Muarabu aendeshe. ============== Upande wa vyoo vichafu mno, upande wa...
  11. Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mbaya; aliua mifumo ya utawala bora akawadanganya Watanzania na vitu vidogo kama madaraja, stendi, ndege n.k

    Kwa vipimo vyote Magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao. Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea...
  12. Muonekano wa Stendi ya Mabasi Kondoa (Dodoma) unatia aibu

    Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa. Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri. Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
  13. Umeshawahi lala stendi bila kutarajia

    Hii kitu ni mbaya sana hasa kwa safari zetu za watu wa maisha ya chini, na mara nyingi hutokea kwa kupanda gari bovu, au gari kuharibika njiani, au kudanganywa na wakata tiketi, Kwa mara ya kwanza kabisa nilikuwa natokea singida naelekea kigoma kwa sababu za changamoto za usafiri kutoka...
  14. Ujenzi wa Stendi ya Halmashauri ya Momba

    WIZARA YA TAMISEMI INAKUSAIDIA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA STENDI YA HALMASHAURI YA MOMBA Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe...
  15. Hali ya mazingira ya uuzaji wa chakula katika maeneo mengi ya Stendi ni hatarishi kwa afya

    Salaam Wakuu, Katika maeneo mbalimbali ya huduma za kijamii kama vile stendi na hospitali ni kawaida mazingira hayo kuzungukwa na biashara mbalimbali za vyakula. Maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam hasa msimu huu wa mvua kumekuwa na uchafu uliokithiri maeneo ya vituo vya daladala. Hali...
  16. DOKEZO Stendi ya Daladala ya Mbezi Mwisho inanuka mkojo tupu

    Habari Wadau, Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu kukojoa hovyo ndani ya stendi huku walinzi na migambo wa jiji wakifukuzana na wamachinga tu lakini...
  17. J

    Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Stendi Kuu Bariadi kutumika kwa mabasi makubwa na madogo

    26 Machi, 2023 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU AAGIZA STENDI KUU BARIADI ITUMIKE KWA MABASI MAKUBWA NA MADOGO WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza stendi kuu ya mabasi katika mji wa Bariadi mkoani Simiyu ianze kutumika kwa mabasi makubwa na madogo ili kuondoa usumbufu kwa abiria...
  18. Wazazi wenye Watoto wa Secondary wa Shule za Dar Kagueni Mashavu ya Watoto wenu kwani kuna Mmoja nimemuadabisha Kimara Stendi Juu Darajani leo

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule (Watoto zetu) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita. Leo mida ya Saa Mbili Usiku GENTAMYCINE nilikuwa nakatiza zangu Kimara Juu Darajani na nikakuta Wanafunzi wa Upili (Secondary) wakiwa...
  19. Serikali yakanusha vikali Stendi ya Chato kutelekezwa

    Na Daniel Limbe Chato SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita imekanusha vikali uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa standi kuu ya mabasi ya Chato "Kahumo bus terminal" imetelekezwa na kubaki magofu. Uvumi huo ambao umezua taharuki kwa baadhi ya wananchi,umelenga kudhoofisha...
  20. Stendi Kuu ya Arusha kuanza kujengwa ndani ya siku 30 zijazo

    Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe amempongeza na kumshukuru Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geoffrey Pinda kufuatia maelekezo yake aliyoyatoa kuwa Ujenzi wa Stendi Kuu Arusha uanze ndani siku 30 nakuonya kwa yoyote anayekwamisha. MABORESHO STENDI YA SASA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…