taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC04 Jamii ifanye nini ili kupambana na Taarifa Potofu?

    Ulimwengu umepita katika zama tofauti tangu uwepo wake hadi sasa tulipo. Zama hizi za sasa za taarifa ni moja kati ya zama ngumu na muhimu sana kwa jamii kwa sababu bila kuwa na taarifa jamii haiwawezi kushiriki katika shughuli yeyote ya kiuchumi na kisiasa ili kujiletea maendeleo. Wanafunzi...
  2. Hizi taarifa za mkopo wa Korea Kusini mbona zina utata mwingi?

    Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America na Reuters vilio ripoti kama ilivyo nukuliwa hapo chini, akaja na Waziri wa uwekezaji na yeye...
  3. Taarifa ya Al Jazeera kuhusu mauaji kule Jazira imetangazwa faster kuliko kawaida

    Al Jazeera wametangaza hii habari haraka haraka sana hakuna coverage hata ya kuhoji watu ambao wanasema Ile ni massacre. African news nao Wala hawatangazi kuhusu Sudani. Taarifa yote iko Gaza Ina cover Kila sekunde hadi mistari ya kuchukua chakula milio ya ndege n.k Africa is for Africans...
  4. Nimefungiwa pombe kwenye karatasi lenye taarifa za wachangia damu

    Salamu, basi jana nikaona nichukue pombe kali nikanywee nyumbani, yule muuzaji akaniwekea kwenye bahasha nyeupe yenye maandishi pande zote. Nilipofika nyumbani nikapiga fundo la kwanza na la pili kisha nikaanza kuipitia ile bahasha nilishtuka kidogo maana ina taarifa za wachangia damu wawili...
  5. O

    SoC04 Taarifa Binafsi zinazokusanywa na Makampuni ya mikopo Ya Online ni hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama Branch, PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Bongopesa Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi. Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa...
  6. A

    KERO Bora Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji Dodoma, Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini

    Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee. Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia...
  7. O

    Ukikopa Bongopesa ukachelewa kulipa wanawatumia sms wote unaowasilaiana nao

    App za mikopo mitandaoni kama Bongopesa wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana. Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Tunaomba kujua je wapo sahihi...
  8. Benki zinavujisha taarifa za wateja

    Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo 1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho, 2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
  9. A

    SoC04 Upanuzi wa Mfumo wa Kutunza Taarifa za Wagonjwa ni Hatua Muhimu katika Mapambano Dhidi ya Kansa

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa huduma za matibabu na usimamizi mdogo wa taarifa za afya za wagonjwa. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayokabiliwa na jamii ni kutopata matibabu sahihi kwa magonjwa...
  10. Z

    SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  11. DOKEZO Jaji Mkuu ana taarifa kwamba majaji wa Mahakama Kuu siku hizi "Wanaandikiwa" hukumu na watu tunaopishana nao magengeni na kwenye baa?

    Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu Jaji, hata kama una kesi ya namna gani, utapata upenyo tu! Wakati Rais anateua Majaji, kwa kweli ni...
  12. Benki Kuu kusimamia Kanzidata ya Taarifa za Wakopaji

    Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni hizo ni Creditinfo Tanzania Limited na Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Limited. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan...
  13. Bodi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Umoja wa Ulaya yasema Chat GPT bado haifikii viwango vya usahihi wa Taarifa

    Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
  14. Mtanzania Aliyetoa Taarifa zilizopelekea Kukamatwa Osama Bin Laden Atishia Kuishitaki USA, asema hajalipwa pesa zake Bilioni 68

    Mtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa kuuwawa Kwa Gaidi Maarufu bwana Osama Bin Laden. My Take USA acheni Utapeli lipeni pesa za watu...
  15. SoC04 Udhibiti wa Taarifa hasi katika jamii: Adhima kuifikia Tanzania yenye visa sifuri vya Ukatili kwa Wazee

    Idadi ya wazee Tanzania Kwa mujibu wa sensa ya 2022 Tanzania ina jumla ya wazee 7,469,714 chini ya mgawanyo wa wazee 7,294,654 Tanzania bara na 175,060 Tanzania Zanzibar,( Ripoti ya Mgawanyo wa Idadi ya watu kwa Umri na Jinsi Tanzania,2022,Wizara ya Fedha na Mipango). Jedwari: Mgawanyo wa wazee...
  16. U

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha aanza ziara ya siku tatu wilayani Longido

    Wadau hamjamboni nyote Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anaelekea Wilaya ya Longido katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi. Ziara hiyo ya siku sita imeanza leo Mei 23 na itamalizika Mei 30, 2024. Viva Paul Makonda
  17. Upotoshaji wa Taarifa katika soka msimu wa usajili

    Upotoshaji wa taarifa kwenye soka hufanyika zaidi wakati wa msimu wa usajili. Kipindi hiki ambacho mashabiki wa soka hufuatilia kujua Wachezaji wanakuja na kuondoka kwenye timu zao, wapotoshaji hutengeneza #taarifapotofu kwa makusudi ili kupata wafuasi kwenye kurasa zao au kuibua taharuki. Kwa...
  18. Taarifa ya Msemaji Mkuu wa serikali kuhusu kimbunga Ialy na hali yake, Mei 19, 2024

    Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi leo Jumapili Mei 19, 2024 imesema kuwa TMA katika taarifa yake ya saa 12 jioni ya leo, imetabiri kimbunga hicho kilichopo umbali wa kilomita 680 kutoka pwani ya Tanzania, kuwa kitasababisha mvua kubwa na upepo mkali Jumanne...
  19. H

    Ulipataje taarifa kuwa Kuna tatizo la kimtandao kwa baadhi ya nchi.Mimi nilipata humu Jamii forum.Hongera sana Jf.

    Salam humu. Naona tatizo lililotokea limeonesha jinsi gani mawasiliano yalivyo muhimu kwa Taifa. Mitandao ya mawasilianao ya simu na wadau wengine ilipaswa kuwa ya kwanza kutujuza sisi wateja kuwa kuna tatizo la katizo la mawasilianao ya kimtandao ,,but they come later..labda sijui kuhofia...
  20. U

    Taarifa wakazi wa Iringa waanza kula panya kama kitoweo!

    Wadau hamjamboni nyote Gazeti la mwwnanchi linaripoti kuwa Ndugu zetu huko Iringa Sasa wameamua kula panya kama kitoweo wakidai kina protein Kwa wingi sana Taarifa kamili hapo chini #Repost @mwananchi_official —— Wakazi wa Kijiji cha Ndengisivili wilayani Kilolo mkoani Iringa, wamesema ulaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…