Upotoshaji wa taarifa wakati wa uchaguzi unaweza kuathiri masuala ya kijinsia kwa njia kadhaa:
Kueneza Habari Potofu Kuhusu Wagombea wa Kike: Wakati mwingine, habari potofu zinaweza kutolewa kuhusu wagombea wa kike ili kuwaharibia sifa zao au kuwadhalilisha. Hii inaweza kujumuisha kusambaza...
Uchaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi wanaowaongoza. Hata hivyo, ili kufanya maamuzi ya busara na yenye tija, ni lazima wananchi wapate taarifa sahihi kuhusu vyama vya siasa na wagombea wao.
Taarifa sahihi hapa inamaanisha habari...
Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022, ilianza kutumia rasmi Mei 01, 2023 na Tume inayosimamia Ulinzi wa Taaarifa Binafsi japo ilianza kufanya kazi tangu Mei 2023, imezinduliwa jana na Rais wa Samia Suluhu Hassan.
Najua Tume ina kazi nyingi za kufanya hasa kwa wakati huu ambapo ndio...
Wanaukumbi.
🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama."
Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
Kwa muda mrefu sasa ,serikali imekua ikitoa matamko kua inataka watanzania watambulike kwa utambulisho sahihi , kwa nchi yetu Tanzania NIDA wamejitahidi sana tumepata vitambulisho karibu asilimia kubwa ya Watanzania.
Kinachofanyika kwa sasa ,kampuni yeyote ikitaka kufanya name...
Aprili 2 kila mwaka huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa ili kuongeza uelewa na umuhimu wa kuhakiki na kuthibitisha ukweli katika taarifa zetu za kila siku. Katika ulimwengu uliojaa taarifa za haraka na mara nyingi zenye utata, uhakiki unakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa hapo juu.
MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu.
Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100...
Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya kuwasilisha madai yanayohusiana na ulinzi wa wa taarifa binafsi nchini Tanzania.
Kweny kesi hii...
Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake.
Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti.
Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha...
Hizi taarifa zinachanganya!
Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni.
Tarehe 25 march katika taarifa ya habari wanasema mzabuni tayali kashaanza kuigiza mabasi! Swali tenda...
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akiwa katika Mkutano wa Tatu wa Demokrasia uliofanyika Machi 18, 2024 ametoa wito kwa viongozi wote Ulimwenguni kuunga mkono jitihada za kukomesha taarifa potofu
Yoon ameeleza Taarifa zisizo za kweli wakati wa Uchaguzi huweza kuathiri mchakato mzima wa...
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake UWT inapenda kuutahadharisha Umma juu ya Uwepo wa kundi la wahalifu mtandaoni wanaotumia Vibaya Jina la Katibu Mkuu Ndg. Jokate Urban Mwegelo na kulihusisha na Huduma utoaji wa Mikopo ya bei Nafuu..
Taarifa hizo sio za kweli na Ni...
facebook
habari
haya
hii
kijamii
kuhusu
mabadiliko
mabadiliko ya sheria
makundi sogozi
mapya
meta
mitandao
mitandao ya kijamii
mtandao
sheria
sheria ya mitandao
taarifa
ukweli
whatsapp
Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe.
Aliyetoa taarifa ya kukanusha...
Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa...
KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Kenya
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema ODPC...
Habari ndugu Watanzania,
Nimesukumwa kuandika uzi huu, kutoka kwenye uzi mwingine uliofunguliwa juu ya madai ya mtu kumtumia mzigo mteja wake, na mteja imetokea ameaga dunia kabla ya kupokea mzigo.
Niliwahi kufungua uzi kipindi cha nyuma unaoendana na huu ukiuliza ndugu wanafidiwa vipi maslahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.