PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.

 
Anaywtakiwa kutoa takwimu wakaiti huu ni serikali kupitia mamlaka zake baada ya kufanya tathmini ya kina.

Yeyote anayetoa takwimu wakati huu ni uchochezi, hawana vyanzo vya kutoa takwimu hizo kwa usahihi, tusubiri serikali ifanye kazi yake na takwimu hizo kutolewa.
 
Haya wao wenye machinery kama anavyosema watoe hizo takwimu, Wao wanapika kila takwimu si bora tuamini vyanzo vingine. Sensa wanapika Data, Matokeo ya Uchaguzi hata asiyesoma anajua Wamepika, tunasubiri machinery zao zije ziseme walikufa Watanzania 200, afu hapo Waketumia billion 20 kukusanya hizo takwimu
 
Msigwa anadai kutoa takwimu za waliokufa oct 29 ni kosa kauli inayoonesha uelekeo wa kuminya uhuru wa kujielezea na haki ya wananchi kutoa taarifa.

Kutoa taarifa kwa wananchi sio kosa ili mradi taarifa hiyo isiwe ya uongo, walio kufa ni ndugu zetu wa mitaani tukiona misiba tunajua.

Aidha kauli ya msigwa tunaitafsiri kama kujaribu kuficha ukweli hatuwezi kutegemea washukiwa wa mauwaji ndio watupe taarifa.
 
Serikali hii haiaminiki, kama imeweza kudanganya bila aibu eti samuya kapata kura ml 32 itqshindwa kudanganya kutoa takwimu za uongo za watu waliokufa na wengine kuzikwa kwa siri?!.

Hizo takwimu wabaki nazo!
 
Takwimu za Serikali za uongo, hatuzitaki na hatuamini chochote kutoka kwenu, ndio maana hata hapo upo unasema uongo Msigwa na hilo sura lako kama chupi chizi
 
Anaywtakiwa kutoa takwimu wakaiti huu ni serikali kupitia mamlaka zake baada ya kufanya tathmini ya kina.

Yeyote anayetoa takwimu wakati huu ni uchochezi, hawana vyanzo vya kutoa takwimu hizo kwa usahihi, tusubiri serikali ifanye kazi yake na takwimu hizo kutolewa.
Kama wamesema rais kapata kura 31m wakati si kweli, ndio utasubiti taarifa ya serekali utegemee kupata ukweli? Zama za kusubiri taarifa za kupikwa zilishapitwa na wakati.
 
Mimi kinachoniacha hoi ni kuita waandishi wa habari ambao anajua hawawezi kumuuliza maswali magumu kwa sababu serikali imewafunga midomo!
 
Utasikia walikufa ni 20 tu 😂 Maiti zinaozea mochwari zingine walichoma moto huko wazo, zingine wakafukia kwa siri huko kondo
 
Msigwa anadai kutoa takwimu za waliokufa oct 29 ni kosa kauli inayoonesha uelekeo wa kuminya uhuru wa kujielezea na haki ya wananchi kutoa taarifa.

Kutoa taarifa kwa wananchi sio kosa ili mradi taarifa hiyo isiwe ya uongo, walio kufa ni ndugu zetu wa mitaani tukiona misiba tunajua.

Aidha kauli ya msigwa tunaitafsiri kama kujaribu kuficha ukweli hatuwezi kutegemea washukiwa wa mauwaji ndio watupe taarifa.
Maria sarungi alihesabu vipi maiti za dar,tukuyu,songwe,Dodoma,mwanza,kahama,shinyanga,geita,Arusha wakati watu wote walikua ndani?
 
Yeye mpaka Leo siku 26 baadaye hajatoa idadi kamili ya vifo inategemea nini
 
Back
Top Bottom