PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.

Wanaficha taarifa sahihi Kwa wananchi ni wavunja Katiba , Kwani taarifa sahihi Kwa wakati ni Haki ya kikatiba
 
Back
Top Bottom