Katika dunia hii ya teknolojia, alternatives to communication zinajitokeza kila uchao. Kwa sababu za kisiasa tu TCRA imeamua kuminya upatikanaji na upashanaji wa habari kwa waTanzania. Hili ni kosa la kimsingi, kwa sababu yoyote ile.
Teknolojia hailali, watu wamekwisha anza kutumia njia...