tec

The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TEC: Makao makuu ya baraza la maaskofu yamevamiwa na heshima ya taifa imejeruhiwa

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hili Padre Charles Kitima amesema wanatafakari na kujiuliza ni ni hasa kinachoshambuliwa kwa tukio kama lile. "Anashambuliwa mtu,, inashambuliwa taasisi, au...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi chokochoko za KIDINI zinazo endelea zinachochewa zaidi na matamko ya TEC, kwa maslahi ya Amani ya Taifa letu naomba tuache.

    Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko. Nchi ikichafuka...
  3. JamiiForums Tanzania BAKWATA yalaani vikali tukio kushambuliwa Katibu wa TEC Padri Charles Kitima

    Katibu Mkuu BAKWATA Alhaj Nuhu Jabir Mruma amesema Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), linalaani vikali tukio lililotokea jana la kushambuliwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Kwa mujibu wa taarifa maalum aliyoitoa leo Alhamisi jioni Alhaj Mruma amevitaka vyombo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Rais wa TEC amesema ana imani kubwa na Jeshi la polisi

    Wakuu nmekutana na hili sijui gazeti sijui kipeperushi kikielezea kuwa Rais wa TEC amesema ana imani na jeshi la polisi na amewasailiana na IGP Wambura kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Katibu wa TEC Padre charles Kitima wanadai ni kutokana na mahojiano aliyoyafanya na Dw, Je ni kweli?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa viongozi wa TEC kutoa tamko la kuungana na wananchi kuandaa maandamano ya kuiondia CCM madarakani

    Muktadha wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC umegawanyika sana kutokana na mzozo uliotokana na kukataa kwa Rais Joseph Kabila kuondoka madarakani baada ya muda wake kumalizika karibu miaka miwili iliyopita. Katika jitihada za kutatua mkwamo huo, Kanisa Katoliki lenye...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Fr. Charles Kitima - Katibu mkuu TEC kunusurika kuuwawa,; Askofu Mwanamapinduzi, Mwamakula, Mwamalanga na Bagonza chukueni tahadhari

    Waswahili wanasema hivi; "...ukiona mwenzio kanyolewa, basi wewe jiandae kwa kutia maji kichwa chako, maana inayofuata ni zamu yako..." Dali zote zinaonesha kuwa vita iliyopo sasa Tanganyika ni; Vita kati ya HAKI na UOVU... Vita kati ya MUNGU na SHETANI - IBILISI... Watumishi wa Mungu...
  7. JamiiForums Tanzania TEC yalaani Shambulizi Dhidi ya Padre Charles Kitima, yataka uchunguzi wa haraka na uwazi pasipo na upotoshaji

    Baraza la Maaskofu Tanzania Limetoa wito kwa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua za haraka za kuwabaini na kuwakamata wale wote husika na kuwakamata kwa ajili ya kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria Aidha Baraza limeesa jeshi la polisi kufanya...
  8. JamiiForums Tanzania Naishauri TEC ifanye maandamano ya amani kupinga kilichotokea kwa Fr. Kitima

    Baada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!! Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '. Niwashauri TEC , kabla suala hili halijapoa, itisheni Maandamano ya Amani Kwa Waumini wenu Nchi nzima.
  9. JamiiForums Tanzania Je, kushambuliwa kwa Father Kitima ni kutokana na msimamo wake?

    https://youtu.be/QnKI3wLXcaY?si=BjAtS93gaNwhr3jA ➡Mtu aweza kujiuliza kuna tatizo gani ktk kauli au maneno haya yanayozungumzwa hapa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) hata awindwe na kutaka kuuwawa..? ➡Nani anayeweza kushindwa kutambua mara moja tu kuwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni Upotoshaji

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni. Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

    Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema; Kupata...
  12. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbele ya Dr. Biteko, TEC wasema vilio vya watu wanaotaka kufanyika kwa maboresho ya katiba na sheria visikilizwe na visipuuzwe

    Wakati wa uwekwaji wa Wakfu kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Iringa Askofu Romanus Mihali, Kanisa Katoliki nchini katika salamu zake kwaniaba ya Maaskofu wa Kanisa hilo Makamu wa Rais wa TEC, Eusebius Nzigilwa amesisitiza umuhimu wa kusikilizwa kwa sauti na vilio vya watu wanaotaka mabadiliko...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi. Vyombo...
  14. JamiiForums Tanzania Homilia ya askofu wa Lindi siyo msimamo wa TEC

    He
  15. JamiiForums Tanzania TEC iwachukulie hatua WASAFI MEDIA MARA MOJA Kwa kupotosha kimakusudi Maneno alosema Kardinali Rugambwa huku wakitumia Picha ya RAIS WA TEC!!

    Ndugu zangu katika Kristo YESU. Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno. Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII. Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya...
  16. JamiiForums Tanzania Waislam walofanikiwa Kua na Elimu Dunia wengi wanakubaliana na TEC kudai Haki

    Unaweza jiuliza, TEC mbona hawajazungumzia Udini wa MTU, TEC na Maaskofu na Manabii wengineo , wao wanataja neno "HAKI HAKI HAKI". Ila Hawa wenye kuponda Elimu Dunia , huku vichwan wamejaza Elimu Dini, kwenye kujibu utawasikia majibu Yao ni mawili tu 👉Kwakua Rais ni Muislam 👉 Angekua Mkristo...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

    Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
  18. JamiiForums Tanzania Hii statement ya TEC iliyo katika waraka wao wa pasaka na kunukuliwa toka kwa Askofu na Rais wao Wolfang Pisa, inapaswa kuwa pinned hapa...

    Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani..? "....Je, ni anayetumia nguvu kubwa na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, kwani kwa mfumo wa sasa hauwezi kutupatia viongozi wa haki na wa kweli...?" Askofu...
  19. C

    JamiiForums Tanzania CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

    Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
  20. JamiiForums Tanzania Alichoandika MwanaHistoria Mohamed Said, Baada Tamko La Askofu Rais Wa TEC

    Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania. -------------------------- ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955? N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…