thread

  1. JamiiForums Tanzania Compose yourselves and scrutinize this thread meticulously

    Charles is an astute political analyst, and I concur with his second proposition. Regarding the first assertion that Lema has committed treachery, I remain highly skeptical until substantive verification is adduced. The second proposition concedes that indeed there exists a constricted...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mimi nimesema kuna mtu atakufa tu, hata kama anajifanya yuko imara

    Narudia tena kuna mtu atakufa haraka sana kuliko anavyodhania na kujiona. Time will tell
  3. JamiiForums Tanzania Wajelajela (former prisoners) special thread

    Karibuni members tuiowahi pitia jela iwe Tz au popote... Karibu tukumbushane Yale mateso na karaha.. Nmepita Mgagao na Iringa mjini kule msimu wa baridi sio poa kabisa... Kaba uzi bwana mkubwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania TO DO LIST: Ratiba ya Kila Siku ya General Lucas Hebel Mwashambwa na Amri za Kijeshi kwa Maafande wa Lumumba Corps!

    Ndugu zangu Watanzania! Mimi kama General, Jemedari, na Executive Director wa Kikosi Maalumu cha Kusifu na Kuabudu (Lumumba Corps), nimeamua kuweka wazi ratiba yangu ngumu ya wiki nzima. Kuliongoza hili jeshi la mtandaoni kunahitaji nidhamu ya hali ya juu sana. Hapa hakuna kulala! Zifuatazo ni...
  5. JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence (Super Intelligence) special thread

    Habari za majukumu wadau, nawakaribisha kwenye uzi huu mahsusi tujadiliane na kupeana updates mbali mbali kuhusu Artificial Intelligence, nimeshawishika kufungua hii thread kutokana na mambo kadhaa - Mimi ni Software developer, lakini katika career yetu mpaka sasa mnaona wenyewe namna industry...
  6. JamiiForums Tanzania CCM Special Thread

    CCM jipangeni kuelekea 2027 uchaguzi wa ndani! ( Hali sio shwari)
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pitia Hii Thread - Utanishukuru Baadae

    Mwambie mwanao mapema kabisa kuwa:- 1. Rolls Royce 2. Land Cruiser 3. Lexus 4. G-Wagon 5. Range Rover Havina uhusiano na kusoma kwa bidii
  8. M

    JamiiForums Tanzania Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    Habarini za wakati huu wanajamii forum. Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 23.Nimekuja hapa kuomba ushauri nasaha juu la tatizo la kiafya linalosumbua kwa muda wa miaka mitano sasa . HISTORIA YA TATIZO (Nahisi ndiyo chanzo lakini madaktari huwa wanakataa wakidai havina uhusiano) Mwaka 2020...
  9. JamiiForums Tanzania Leo nimeona tuanzishe thread ambayo haina mjadala, haina mabishano ni shukrani tu.

    Kila mmoja wetu amepitia jambo fulani ambalo kwa wakati ule aliona kabisa, “hapa sijui nitavukaje.” Kuna waliopitia magumu ya kifedha, afya, familia, kazi, mahusiano, misiba, madeni, au changamoto ambazo hawakuwahi hata kuwaambia wengine. Lakini cha ajabu ni kwamba tulipenya na kuvuka...
  10. JamiiForums Tanzania Thread ya kuweka majina kuwasadia wazazi VIJACHO, na wanaotafuta majina mapya. Taja jina, jinsia, asili na maana yake

    Ashe-Engai Jinsia: me Asili: Maasai Maana: Ashe = Ahsante, Engai = Mungu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Responded Halmashauri ya Mufindi tumeanza kulipwa fedha zetu za Kujikimu, japo tumelipa nusu

    Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa. Soma: Mufindi: Watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu...
  12. N

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 Special Thread, Karibu utoe maoni yako

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Nini kifanywe au kiachwe (kisifanywe) ili mashindano haya yafane? Karibu sana utoe maoni yako Mtanzania mwenzangu
  13. JamiiForums Tanzania Special Thread: Photos Vintage scene 😂😎

    Wakuu Picha za zamani zina uwezo wa kurudisha kumbukumbu, kuonyesha historia na kutufanya tuone jinsi mazingira yalivyobadilika. Hii yangu ni safari ya kufikirika ya Tanga, Dar es Salaam, Zanzibar, Mwanza miaka 1980—vumbi, cowboy vibe na nostalgia full 😄 Karibuni kushare vintage scene yenu...
  14. JamiiForums Tanzania Taja thread zako 3 zinazokuvutia zaidi JF

    Habari za mchana huu, husika na kichwa cha habari hapo juu...
  15. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Picha mbalimbali za Ndege wanaopatikana ulimwengu

    I real love birds
  16. JamiiForums Tanzania Mshana Jr special thread

    Naomba Brother Mshana Jr aweke link za NYUZI zake zote kwenye hii part iwe rahisi kupata content zake za miaka ya kale. tangu enzi za South Africa kujifunza ubuddist na uchawi mpaka kuokoka na kumrudia Sr.God.
  17. JamiiForums Tanzania Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

    Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda THREAD: Uganda's First National Cleaning Day | July 25, 2026

    Today, Uganda held its first-ever mandatory National Cleaning Day, marking the launch of a nationwide monthly community cleaning exercise to be observed on the last Saturday of every month. Under the new directive, the movement of private vehicles and boda bodas is prohibited, while...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wana-JF tusiwe wavivu ku-comment na kuishia kutoa likes nk peke yake; reply thread nzuri ili zikae kwenye chat muda mrefu na ujumbe usomwe na wengi

    Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread isipopata replies au comments basi itazidi kushuka chini na kupotea, ili kutoa nafasi ya juu kwa thread...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuna account za JF kama Mwashambwa zilifunguliwa zitumiwe na group la watu wanaolipwa kuandika propaganda au kukosoa thread au posts, sio member mmoja

    Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake. Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…