tumbo

Tumbo is a locality situated in Eskilstuna Municipality, Södermanland County, Sweden with 292 inhabitants in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  2. Nasumbuliwa na maumivu ya tumbo la chini pamoja na maumivu ya pumbu.

    nimepimwa mkojo na kinyesi hakuna kitu,madaktari wakapendekeza kuwa ni gesi actually first natumia dawa za gesi nilikuwa natoa upepo kwa kiasi kikubwa na hata nikijaribu kufanya mazoezi ni same situation. tatizo la pili nimefanya kipimo cha sperm, haziruki na haziendi na nyingi...
  3. Songwe: Mganga Mkuu wa Mkoa afafanua madai ya kusambaa kwa magonjwa ya tumbo na kipindupindu

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi kuumwa magonjwa ya matumbo na kuwa anahisi wengi wao wao wanasumbuliwa na Kipindupindu. Kusoma andiko la...
  4. Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

    wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu. Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?
  5. Video: wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie haya

    === Haya maneno ya huyu kijana natamani wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie hata kama hawana smartphone wapelekeeni wasikilize.
  6. Mke wangu anateswa na mimba ya Aina yake?? Kutapika, tumbo kuvuruga na kizungu zungu

    Wakuu, Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake. Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka. Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee. Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala...
  7. D

    Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

    Habari ndugu zangu. Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu. Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili...
  8. Kamwe usimwamini Mwanamke, hata awe Dada yako wa tumbo moja

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri... Niende kwenye mada Kwa dunia ilipofika sasa usimwamini kiumbe anayeitwa mwanamke hata awe dadako wa kuzaliwa tumbo moja (labda kidogo mama mzazi japo naye usiweke 100% kwa hawa mama wa kizazi kipya) Nakumbuka kipindi flani nilikuwaga natoka kisirisiri na mke...
  9. Je ni kosa kuita uhamaji vyama ima uchumia tumbo au umalaya wa kisiasa?

    Kila ukaribiapo uchaguzi aka uchakachuaji, wachumiatumbo wengi uhama vyama kwa sababu mbali mbali mzuri na mbaya. Japo tunasema ni uhuru kidemokrasia, je huu una tofauti gani na umalaya wa kawaida ambapo huu ni umalaya wa kisiasa uliohalalishwa ili kuvinufaisha au kuvidhoofisha vyama?
  10. M

    Anayesumbuliwa Na vidonda vya tumbo tafuta majani yanaitwa mashona nguo

    Habari za Leo wakuu, Haijalishi vidonda vyako vimefika hatua gani au umekuwa ukisumbuliwa kwa muda gani, unaweza kutumia tiba ya asili kwa majani ya mashona nguo. Haya ni yale majani ambayo huwa yanatoa vimiba vidogo vya rangi nyeusi vyembamba, ambavyo huweza kunasa nguo unapopita karibu nayo...
  11. Hawa ndiyo maadui wa CCM na 'taifa' la wachumia tumbo

    Kwa CCM: Kila mwenye uwezo wa kuongea ni tishio kwao. Kila anayejitambua ni tishio kwao. Kila anayekosoa ni adui kwao. Kila anayekataa uchawa ni tishio kwao. Kila anayeshuku ni adui kwao. Kila anayefikiri ni adui kwao. Kila aliye safi ni adui kwao. Kila aliye na akili timamu ni adui kwao...
  12. Msaada tumbo linasumbua.

    habari zenu wadau nasumbuliwa na tumbo upande wa chini kushoto(kwa kulibonyeza ila kawaida haliumi),pia hata nikibonyeza kwa juu napata maumivu au nikifanya mazoezi ya kukimbia hua napata hii shida na hata muda mwengine kichwa kinauma.
  13. Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  14. Nasumbuliwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo kwa chini

    Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
  15. Mwanza: Hili Dampo la Buhongwa ni chanzo cha Magonjwa ya Tumbo na Kipindupindu

    Dampo la Buhongwa lipo eneo la Manispaa ya Nyamagana Jiji Mwanza, rekodi za Serikalini zinaonesha lilijengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 8.87. Licha ya ukubwa wa Dampo hilo ambalo awali wakati linajengwa Mwaka 2020 lilisifiwa kuwa ni sehemu sahihi ya kuhifadhi taka lakini mambo yamebadilika...
  16. F

    Tumbo kuunguruma

    Mara nyingi tumbo langu huunguruma kama vile mtu anajamba,wakati mwingine nipo na watu basi ni aibu,hii inasababishwa na nini?
  17. Nini chanzo cha Tumbo la uzazi?

    wakuu nilitaka kujua sababu ya Tumbo la uzazi au Chango la uzazi chanzo chake nini na nini Tiba yake kwa mama aliejifungua? Kuna jirani yangu hapa kajifungua jana ila analia sana tumbo hadi namuonea huruma.
  18. B

    Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  19. Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
  20. Napenda Mishangazi yenye tumbo & michirizi ya utamu

    Binafsi napenda Mishangazi iliyoshindikana kama shishi, tumbo kubwa na michirizi ya utamu. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…