tumieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    Tumieni Kinga wandugu

    Habari za muda huu Wana JF Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje? Chatting zikawa kama hivi: Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu Binti-kivipi mbona bila Salam Mimi- Haina hata haja ya Salam cjui ntaishi...
  2. Pre GE2025 Chadema chini ya Lissu tumieni nguvu hiyo kukiimalisha CHAMA kuliko kutumia kuzuia uchaguzi.

    Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania. Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki ndani ya nchi yetu." Hoja hii ya No reform No election" ipo vzr sana, lakini kwa maoni yangu , ni...
  3. Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  4. P

    Salamu kutoka US: Bunge tumieni Kiswahili, Kiingereza kinawaabisha

    Ndugu zangu watz, niko pamoja nanyi kwenye kipindi hiki kigumu tukiendelea cha kuomboleza ndugu zetu waliofukiwa na jengo huko Kariakoo. Poleni watu wote mliofiwa, mlionusurika na majeruhi. Kwa kweli nafurahishwa daima na umoja ambao daima unaonekana wakati wa majanga kama haya. Nirudi kwenye...
  5. LGE2024 Vyama visipoteze muda kukata rufaa itakayosikilizwa na waliowaengua, kama sharti ni ajira tumieni sharti hilohilo kuwaelimisha wafuasi wenu.

    Katiba ya nchi inampa haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliyetimiza umri wakupiga kura, hakina sharti la ajira. Maadamu wameweka sharti la ajira lisilokuwemo kwenye katiba mnabidi mwaelimishe wafuasi wenu kutoshiriki kwa wao wapigakura kwa kigezo cha wao kutokuwa na ajira.
  6. Tayari, keshaumia anatoa kamasi tu huko chini.

    Tukisema tumieni condom muwe mnaelewa basi. Uzi kwisha!
  7. H

    SoC04 Vyombo vya Habari hasa Televisheni, TV za mitandaoni tumieni Teknolojia ya kubadili sauti kuwa maneno ili msiache nyuma watu wenye ulemavu wa kusikia

    UTANGULIZI: Navipongeza vyombo vyote vya Habari ambavyo vinaendelea kuwa wabunifu katika kurusha matangazo/maudhui mbalimbali ili kuhabarisha jamii kwa kujumuisha mtindo wa tafsiri kwa ALAMA ili iwe rahisi kueleweka kwa watu wasio sikia vizuri au wasiosikia kabisa. KIELELEZO: TBC wakiendesha...
  8. Mashabiki wote wa Yanga mnaoamini kuwa April 20 Simba Watapigwa tumieni hii fursa ya kutajirika

    Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara. Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani lililotutoa kwenye ufukara. Enyi madogo, Frank Wanjiru, Labani og, Half american na wengineo tumieni fursa...
  9. Kuna vijana wanatamani kuacha uzinzi lakini hawawezi, tumieni njia hii

    Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi. Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa). Kuna...
  10. Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

    Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC...
  11. Niliwaambia tumieni tu CCM Mkwakwani au Sheikh Amri Abedi Kaluta na msithubutu kwenda CCM Kirumba mkanipuuza acheni sasa yawakuteni

    Ni Mpumbavu tu pekee Tanzania nzima ndiyo mpaka leo hajui kuwa Mkoa wa Mwanza 80% ni Ngome Kuu na Tukuka ya Wananchi na hatujawahi kuwa na rekodi nzuri na ya uhakika tukicheza CCM Kirumba tokea Kipindi cha Pamba FC, Lumumba Rovers FC, Toto Africans na Mbao FC zaidi tu ule wa Kubahatisha /...
  12. Kama sukari mnaona ghali tumieni asali

    Si lazima sana watu wote kuhangaika na matumizi ya sukari. Kwanza sukari si nzuri ki afya. wataalamu wengi wameilaani sana. Mimi nashauri badala ya kulia lia tuje na mbadala. Serikali haizalishi sukari siyo kazi yake hiyo. kama watu mnaona sukari ni ghari basi tumieni tu asali hiyo ni njema zaidi.
  13. Tanzania tumieni mapato ya betting kwaajili ya timu za Taifa

    Badala ya kuanza kuchangisha tunaweza kuamua kutumia mapato yapatikanayo katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu ambayo ni mengi kuboresha na kuinua timu za Taifa kuliko kutembeza bakuli. Mfano wa nchi wanazoelekeza mapato ya betting kwenye timu za Taifa Ni Ujerumani. Ni aibu kila siku...
  14. Je, una imani na jeshi la polisi kuomba escort unapokuwa na fedha au madini?

    Kutokana na matukio yanayofanywa na baadhi ya askari wa jeshi la polisi la kuwanyang'anya kwa nguvu raia mali zao na kuwaua wengine ili kupoteza ushahidi Kama ilivyotokea huko Mtwara,Dar na kwingineko , bado jeshi la polisi linawataka wafanyabiashara kupewa escort ya jeshi la polisi Je huyu...
  15. S

    Mawakili tumieni taaluma yenu kuzuia unyanyasaji huu wa Serikali ya CCM dhidi yenu. Enough is enough!

    Naona sasa ishakuwa tabia kwa kila wakili anayejaribu kuikosoa serikali ya CCM anakutqna na rungu la kuvuliwa uwakili. Fatma Karume alivuliwa uwakili kimizengwe, Mawakili Jebra Kambore na Edson Kilato walishitakiwa na kamati maadili baada ya kuonekana ni wakosoaji wakubwa wa Serikali na sasa...
  16. Naibu Waziri Kigahe: Watanzania Tumieni Bidhaa Zilizotengenezwa Nchini Kuendeleza Viwanda

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji kukuza viwanda, kuongeza ajira na kipato cha mtu binafsi na pato la Taifa. Kigahe ameyasema...
  17. Hamas tumieni mbinu hii kumshinda Israel

    Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio. Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha...
  18. Jeshi la Polisi tumieni Sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria vya kuvuruga amani nchini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
  19. B

    TISS na CCM Party Comrades tumieni kesi ya Mbeya kuokoa Umoja wetu, na Muungano wetu, kuilinda CCM. FUTA IGA

    Asalam, Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM. 1. Vyombo na mifumo ya dola iwasaidie Majaji Mbeya KUFUTA HUU MKATABA bila kujali changamoto za dini...
  20. SoC03 Hizi ndizo fursa zilizopo vyuo vikuu, enyi wanafunzi wa vyuo vikuu tumieni fursa hizi kutengeneza ajira zenu baada ya chuo

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…