1. KUKU WA KISASA WA MAYAI
2. KUKU WA NYAMA
3. KUKU WA KIENYEJI
Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea...