umoja wa ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Umoja wa Ulaya waipa Tanzania Msaada wa Billion 97.

    Ndugu zangu Watanzania, Umoja wa ulaya umeipatia Tanzania Msaada wa Billion 97,Ambazo zitatumika katika maeneo matano ,ambapo miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na uboreshaji wa maendeleo endelevu katika Miji kama vile Kwanza,Tanga na Pemba. Lakini pesa hizo zitatumika pia katika kuwawezesha...
  2. K

    USA na Umoja wa Ulaya ni wanafiki sana

    Ona Watoto wanavyohuawa huko Gaza na Jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas. Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amewekewa vikwazo chungu nzima kutoka kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo...
  3. L

    China yailaani Tume ye Umoja wa Ulaya kwa kutaka siri za kibiashara katika uchunguzi wa magari ya umeme

    Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka kiasi kikubwa cha taarifa zinazohusiana na siri za kibiashara za viwanda hivyo. Wizara hiyo imerejea...
  4. I

    Waziri mpya wa mambo ya nje anataka kurejesha uhusiano kati ya Uingereza na Umoja wa Ulaya

    Safari ya kwanza ya kimbunga ya David Lammy kama waziri wa mambo ya nje wa Uingereza, iliyoandaliwa kwa taarifa fupi sana, haihusu matokeo ya papo hapo au hata upeo mpya wa ujasiri. Yote ni kuhusu mtazamo - mwonekano wa utawala mpya, wenye nguvu, uliodhamiria kupiga hatua, uliojaa nia njema kwa...
  5. L

    Umoja wa Ulaya haupaswi kukubali madai ya Marekani kuhusu sekta ya nishati safi ya China

    Marekani inajaribu kudai kuwa sekta ya nishati safi ya China ni tishio la pamoja kwa wenza wake wa Ulaya, lakini hata hivyo, kujaribu kuiaminisha Ulaya kuunga mkono shinikizo la kiuchumi la Marekani kwa China kunaweza kuwa kikwazo kwa mkakati wa uhuru wa bara hilo la Ulaya. Vitendo vya kujilinda...
  6. BARD AI

    Bodi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Umoja wa Ulaya yasema Chat GPT bado haifikii viwango vya usahihi wa Taarifa

    Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
  7. L

    Ushirikiano mzuri kati ya China na Umoja wa Ulaya unaendana na maslahi ya Afrika

    Rais Xi Jinping wa China anaendelea na ziara yake barani Ulaya, ambako amesisitiza mara nyingi kwamba kama nguvu mbili muhimu duniani, China na Ulaya zinapaswa kuimarisha uratibu na kukuza kwa pamoja ujenzi wa dunia yenye ncha nyingi. Edward Kusewa, mwalimu wa uchumi katika Chuo Kikuu cha St...
  8. Papaa Mobimba

    SI KWELI Kakwenza Rukira aweka Makubaliano ya Siri na Umoja wa Ulaya kuhamasisha Ushoga Uganda

    Katika pitapita mitandaoni nimekutana na huyu chawa wa Mtoto wa Rais Museveni, Kainerugaba Muhoozi akimtuhumu Kakwenza Rukira kuingia makubaliano ya siri na umoja wa Ulaya nchini Uganda katika kuhamasisha ushoga nchini humo. Nakumbuka Uganda imezuia mahusiano ya jinsia moja na Rais Museveni...
  9. Roving Journalist

    Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

    Leo, Februari 28, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Christine Grau, pamoja na Thomas Terstegen, ambaye ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Ujumbe wa Mabalozi hao umepata nafasi ya kukutana na Watendaji wa JF na...
  10. BARD AI

    Waangalizi wa Umoja wa Ulaya wadai Uchaguzi wa Zimbabwe sio Huru na Haki

    Kupitia ripoti yao, Waangalizi kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) wamesema Uchaguzi huo ulikuwa na Uminyaji wa Haki, Ukosefu wa Fursa Sawa na Mazingira Magumu kwa Wapiga Kura. EU EOM imeongeza kuwa kulikuwa na ukamataji wa kutumia nguvu wa Waangalizi 39 wa Mashirika ya Kiraia ambao...
  11. BARD AI

    Umoja wa Ulaya watishia Kuifungia Twitter, Snapchat na Tiktok endapo zitatumika kuhamasisha Machafuko Mtandaoni

    Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya. Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya...
  12. The Assassin

    Marekani na nchi za Umoja wa Ulaya zimepinga Azimio la UN la kukataza watu kuchoma Quran

    Umoja wa kimataifa, UN imepitisha azimio lililopigwa na nchi za Marekani na Umoja wa ulaya la kuzuia uchochezi na ubaguzi wa kidini hasa uchomaji wa Quran. Azimio hilo limekuja baada ya mwezi uliopita raia wa Iraq kuchoma Quran nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm Sweden na kuchomea...
  13. B

    Benki ya CRDB yatunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya

    Benki ya CRDB kwa mara nyingine imetunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya ijulikanayo kama ESQR (European Society for Quality Research). Tuzo hiyo imetolewa Jumapili, t Julai 9, 2023 jijini Brussels Ubeligiji, yalipo makao makuu ya Umoja wa Ulaya ambao hivi karibuni...
  14. ChoiceVariable

    Kenya yaziruka nchi Wanachama wa EAC na kusaini mkataba wa Biashara Huria na Umoja wa Ulaya uliokuwa unalalamikiwa

    Rais wa Kenya William Ruto amesaini Mkataba wa Biashara Huria na Umoja wa Ulaya licha ya kwamba Mkataba huo ulikuwa unapingwa na Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika Mashariki Toka 2016. ======== Kenya has signed one of the most ambitious trade deals between the European Union and any African...
  15. Roving Journalist

    Dkt. Tax ateta na Mabalozi wa Italia na Umoja wa Ulaya Nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Marco Lombardi pamoja na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) nchini, Mhe. Manfredo Fanti katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam...
  16. Yoda

    Moldova yaungukia Umoja wa Ulaya(EU) kwa hofu ya Urusi

    Moldova taifa dogo lilo kati ya Ukraine na Romania limeungukia umoja wa ulaya(EU) likiitaka jumuiya hiyo kwa msisitizo mkubwa sana kuharakisha kupokelewa kwa maombi yao ya kujiunga katika umoja huo. Taifa hilo linaamini kuingia katika Umoja wa Ulaya itakuwa ndio salama yake dhidi ya kitisho cha...
  17. benzemah

    Serikali ya Rais Samia ilivyoirejesha Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) nchini

    Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) imeeleza sababu za kurejea Tanzania na kufanya uwekezaji mkubwa wenye thamani ya Euro milioni 540 baada ya kutokuwapo kwa miaka saba nchini. Moja ya sababu hizo ni maboresho makubwa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali anayoiongoza...
  18. BARD AI

    EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀)

    Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries. 𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 𝗻𝗶 𝗻𝗶𝗻𝗶? Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
  19. MakinikiA

    Kama Mnara wa Babeli, Umoja wa Ulaya wagawanyika

    Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters Belgrade will face “consequences” if it partners with Moscow, a German representative told the news agency Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters Serbian President Aleksandar Vucic addresses the nation at a...
  20. B

    Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania

    26 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania Video courtesy of Azam TV Kamishna wa EU akizungumza baada ya kundi la 26 la vijana kutoa mikoa mbalimbali ya, Tanzania kuonesha uvumbuzi wao pamoja na kazi za...
Back
Top Bottom