usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utekaji na Usalama: Je, Waziri Masauni Anaweza Kuwahakikishia Wananchi Usalama wa Kudumu?

    Historia na Uteuzi Hamad Masauni aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 10, 2022. Kabla ya uteuzi wake, Masauni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu katika siasa na uongozi, ambapo alishika nyadhifa mbalimbali ndani ya serikali na Chama cha Mapinduzi...
  2. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na bidhaa za mtandaoni

    USALAMA WA MTANDAO NI MUHIMU KWA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na...
  3. Bunduki za Marekani zatishia usalama wa nchi hiyo na dunia nzima

    Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
  4. Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

    Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
  5. Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

    Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo. Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
  6. Dunia inatembea juu chini inapokosekana imani/dini. Leo nathibitisha kuwa imani ni muhimu kwa usalama wa ulimwengu

    Nimeshawahi kuchapisha bandiko mbalimbali yenye mlengwa wa kuhoji/kupinga vikali uwepo wa Mungu mkuu hoja zangu zilikuwa based on theories nadharia, ufahamu na akili/rational thinking katika kutambua uwepo wa Mungu sikufanikiwa kutambua uwepo wake katika kuyaongoza maisha yetu, ila nimekuja...
  7. J

    Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

    Gachagua amevilaumu Vyombo vya Usalama Kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi Rais Ruto na hatimaye kusababisha Vifo vya Watoto Wasio na hatia Gachagua amesema Hata Polisi wamelalamika hawakupewa taarifa na idara ya Usalama wa Taifa mapema Aidha Gachagua amesema Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa la...
  8. Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  9. TANZIA MRATIBU Msaidizi Baraza la Usalama wa Taifa, Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila amefariki dunia

    MRATIBU Msaidizi Baraza la Usalama wa Taifa, Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila amefariki dunia. Taarifa ya kifo chake imetolewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda. Kwa mujibu wa Taarifa iliyosainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Ulinzi la...
  10. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaonya ufungaji wa Kamera (CCTV) kwenye maeneo ya faragha

    YAH: ONYO DHIDI YA KUFUNGA VIFAA VYA USALAMA (CCTV) KWENYE MAENEO YA FARAGHA Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - PDPC inatoa onyo kali kwa Taasisi na kampuni zote zinazotumia kamera za usalama ikiwa ni pamoja na maeneo ya kazi kuhakikisha wanazingatia Sheria na Kanuni za Ulinzi wa Taarifa...
  11. DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

    Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa! Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii? Cc Pascal Mayalla Britanicca Pia Soma - Uteuzi : Abubakar...
  12. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  13. Ukaguzi viwango na uthibitishaji wa dawa za kuongeza maumbile mamlaka zinazingatia nini?

    Habari Wakuu, Kumekuwa na Ofisi mbalimbali zilizopewa vibali vya kuuza madawa ya kuongeza maumbile (Uume kwa Wanaume) na Shepu kwa wanawake. Ofisi hizo zimekuwa huru na zinajitangaza hadharani sambamba na kusifia huduma zao. Nimewauliza wataalamu wa Afya kadhaa wanadai hakuna dawa...
  14. H

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Sera Ya Matumizi Ya DashCam

    UTANGULIZI: Kumekuwa na mtafaruku haswa inapotokea Ajali iwe barabarani au mtaani kutokana uzembe wa dereva na kusababisha madhara fulani, lakini kukawana uzito katika kutoa Adhabu kutokana na kutokuwa na ushahidi kamilifu kitendo kinachopelekea upendeleo kwa mtu aliehusika na uzembee huo SERA...
  15. N

    DOKEZO OSHA mko wapi? Ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo unafanyika kiholela, ni hatari kwa usalama wa Watu

    Kuna zoezi la ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo karibu na kituo cha Mwendokasi Msimbazi B, zoezi hilo linaloendelea linafanyika bila uwepo wa kizuizi chochote kulingana na madhari ya eneo husika, kutokana na hali hiyo sasa inasababisha ajali kubwa sana wanaokatiza eneo hilo kwa magari...
  16. Toyota yaomba radhi kwa kudanganya kuhusu usalama wa baadhi ya Magari yake. Yasitisha utengenezaji Corolla Fielder, Corolla Axio na Yaris Cross

    Mwenyekiti wa Toyota, Akio Toyoda ameomba radhi leo Jumatatu kwa udanganyifu mkubwa katika majaribio ya uidhinishaji wa modeli saba za magari huku kampuni hiyo ikisimamisha utengenezaji wa matatu kati yake. Jaribio kubwa la ulaghai katika kampuni kubwa ya kutengeneza magari ya Japani...
  17. Tetesi: Tanga: Kinachoendelea Tanga kinatishia usalama wa raia na mali zao.

    Habari, Taarifa zisizo rasmi Tanga mjini imejikuta katika hali ya sintofahamu kutokana na uvamizi wa watu nyakati za usiku na kuporwa. Waandishi wa habari Tanga wamenyamaza hawaripoti taarifa kama hizo ili watu wawe makini katika shughuli zao,,, tukio kubwa limetokea barabara ya 3 kwa...
  18. SoC04 Jitihada za dharula zielekezwe katika kukuza TEHAMA nchini kwa manufaa ya kiuchumi na usalama wa taifa letu

    TEKNOLOJIA- SILAHA KALI YA ULIMWENGU MAMBOLEO. Ni ukweli usio fichika kwamba karne ya ishirini na moja imeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika ukuaji wa teknlojia duniani. Sekta kama viwanda,kilimo na ata sekta za huduma kwa jamii kama hospitali na elimu zimenufaika na mageuzi haya ya...
  19. S

    Serikali ijenge Vituo vya Polisi kwa kila kata, kuwe na Magari ya wagonjwa na gari za Zimamoto

    Nashauri serikali yetu iwe na mipango ya kujenga vituo vya kipolisi kwa kila kata, pia kuwe na gari za wagonjwa, gari za zima moto. Katika huduma ya afya, nashauri maduka yote ya dawa yapewe vibali maalum vya kuuza dawa ili dawa zipatikane hospitali za kata kwa urahisi. Manaibu waziri, wakuu...
  20. SoC04 Tanzania Tuitakayo: Watoto wetu hazina yetu

    Wanasema watoto wetu ni maisha yetu ya baadaye. Hili ndo kundi ndio watakaopeleka vizazi vyetu mbele zaidi na kuvumbua mbinu mpya za kufanya maisha ya mwanadamu kuwa endelevu na yenye starehe zaidi. Lakini kama wazazi na walezi, lazma tuzungumzie kuhusu siku zijazo; tuwe na umakini mkubwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…