"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.
Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."