uwanja wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Bonna Kamoli atishia bungeni sakata la wananchi Kipunguni kupisha Airport, hawajalipwa fidia miaka 27 sasa

    Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni halitapatiwa maelezo ya kutosha, basi atashika shilingi na hataachia. Amesema suala hilo limechukua muda...
  2. Dubai kujenga uwanja wa ndege kwa bilioni 91, ni nusu ya bajeti yetu tuliyoshindwa kuitekeleza

    Kweli vidole havifanani, Dubai jana imetangaza ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wenye thamani ya Tshs trilioni 91 kusini mwa mji ambao utaambatana na ujenzi wa mji mpya(wilaya) ambao umeshaanza kujengwa wenye kilomita za mraba 145. Gharama hizi za ujenzi ni zaidi ya mara mbili ya bajeti ya...
  3. Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024. PIA, SOMA: Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri Matukio baada ya...
  4. D

    Tatizo la ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza nini hasa, tuelezeni

    Sisi wazalendo tunakerwa sana na uzembe wa TAA kuanza ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza, wameahidi mara kadhaa kwa Mkuu wa Mkoa, kuwa pesa imetolewa na Rais bilioni 30 sasa. Kinachochelewesha ni nini? Songwe imeishakamilika, Tabora, Iringa, Tanga, Msalato, Arusha, Moshi vinajengwa...
  5. Wananchi wa Nigeria wapinga Uwanja wa Ndege kupewa jina la Rais Bola Tinubu

    NIGERIA: Wananchi kutoka katika jimbo la Niger wamepinga uamuzi wa Serikali kubadili jina la Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Minna na kuuita jina la Rais Bola Tinubu kwa maelezo ya kutambua mchango wa kiongozi huyo katika maendeleo ya jimbo hilo. Pia, Msemaji wa Serikali ya Jimbo hilo, Hajia...
  6. D

    Nani angesaidia kuharakisha mchakato wa Ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, TAA au TANROADS, naomba mawazo yenu

    Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
  7. Kongo DR yaishutumu Rwanda kwa kufanya shambulizi la โ€˜ndege isiyokuwa na rubani' kwenye uwanja wa ndege

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewashutumu Rwanda kwa kufanya shambulio la ndege isiyokuwa na rubani lililosababisha uharibifu wa ndege ya raia kwenye uwanja wa ndege katika mji muhimu wa mashariki wa Goma, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini. Mapigano yamezuka katika siku za hivi...
  8. Serikali Iko Mbioni Kujenga Uwanja wa Ndege Zenye Uwezo wa Kubeba Abiria 50 Mkoani Singida

    Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa ndege wa daraja 2C Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia...
  9. D

    Rais ametoa maelekezo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Je, watendaji watatekeleza?

    Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
  10. Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

    Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda. Hata hivyo, walioweka bei hizi...
  11. N

    Kenya: Umeme wakatika nchi nzima na kuacha abiria kwenye uwanja wa ndege wa JKIA wamekwama

    Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri shughuri za uwanja wa Ndege wa JKIA, huku backup jenereta pia zikishindwa kuwaka hali iliopelekea giza...
  12. Hamas yapiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion uliopo Tel aviv

    Hapo jana Hamas ilirusha mvua ya makombora kutokea Gaza kuulenga uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuasababisha taharuki kubwa. Taarifa ya kijeshi ya Israel imesema Iron Dome zilifanya kazi kubwa ya kuyadaka makombora hayo hata hivyo yalitua uwanjani hapo na ndege za abiria ama kupigwa au...
  13. Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
  14. Paa la uwanja wa ndege Nairobi linavuja kama nje

    Lawama kuhusu paa zinazovuja katika uwanja mkuu wa ndege wa Kenya Waziri wa uchukuzi wa Kenya na mamlaka ya viwanja vya ndege wamekabiliwa na shutuma mtandaoni kufuatia malalamiko ya kuvuja kwa paa kwenye vituo vya uwanja mkuu wa ndege wa Jomo Kenyatta. "Mmoja wa wanachama wa timu yetu...
  15. Waliovamia uwanja wa ndege Moshi wapewa siku saba kuondoka

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameagiza kuondolewa mara moja kwa wananchi waliovamia na kujenga nyumba za kuishi ndani ya eneo la la uwanja mdogo wa Ndege uliopo Soweto Manispaa ya Moshi. Agizo alilitoa Jana mjini Moshi baada ya kukagua upanuzi wa uwanja huo unaotarajiwa kigharimu...
  16. Baada ya Vuta Nikuvute Hatimaye KADCO Yakabidhi Uwanja wa Ndege Kilimanjaro kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA)

    Kiwanja cha Ndege cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kimekabidhiwa rasmi kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA) kutoka kwa iliyokuwa Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (Kadco) baada mkataba wa uendeshaji kukamilika Novemba 9, mwaka huu...
  17. Uwanja wa Ndege wa KIA Sasa Kusimamiwa na TAA baada ya KADCO Kumaliza Muda wake

    UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia na kusimamia Makabidhiano ya Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) uliokuwa chini ya KADCO ambao sasa utakuwa chini ya TAA...
  18. D

    Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

    Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa. Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
  19. T

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    ๐—ฅ๐—˜๐—ฉ๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—˜๐——: ๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ด๐—ป๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ฟ๐—ฎ๐˜‡๐˜† ๐—ฑ๐—ฒ๐—ฎ๐—น ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ฎ ๐—บ๐˜†๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฐ๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐˜† ๐˜๐—ผ ๐—ผ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ฐ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ฟ๐˜†'๐˜€ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—ป ๐˜๐—ผ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜ ๐—ฎ๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜ The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
  20. Mbunge Nancy Nyalusi ahoji uhalali wa KADCO kuendelea kusimamaia shughuli za Uwanja wa Ndege wa KIA

    MHE. NANCY NYALUSI AHOJI KADCO INASIMAMIA SHUGHULI ZA UWANJA WA NDEGE WA KIA KWA MKATABA UPI? "Nampongeza sana CAG kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuweza kubaini madudu. Ucheleweshaji wa Malipo kwa wakandarasi umesababisha riba ya Shilingi Bilioni 68.77 kwa Serikali kwa taasisi 12. Hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ