Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Rais wa Nchi hiyo, Makamu wa Rais , Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF .
Viongozi hao wanakabiliwa na tuhuma za ufisadi , kukomba mali ya umma , ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu, unyanyasaji uliopitiliza , utekaji na Mauaji ...