vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

    Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha...
  2. kilamba lamba

    Je kuna ishara yoyote ambayo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake?

    Nawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana. Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe anaishi nae au yupo mbali nae. Kwa wanaojua hilo naomba washushe nondo hapa tuzijue na sisi.
  3. bongo dili

    Unamkumbikia Pepe Kale kwa vibao vipi ukiwa wapi

    Hili jitu la miraba minne toka kule jamhuri ya Aradese bingwa la miondoko ya rhumba na soukous akiwa na rapa mahiri enzi hizo Bileku Mpasi akiwa stageshow wake mahiri emolo na jollybabe walitoa vibao mahiri visivyochuja kama Yanga Africa Mamaleki Moyibi Christina Larhumba Hidaya Don't cry dube...
  4. Engager

    Unaweza kuielezea vipi hii kitaalam?

    Hapo chini kuna picha, ambayo ukiitazama kwa macho huwezi kuielewa. Ila ukiikazia macho kwa kama sekunde 10 hivi, kisha ukafumba macho, inatokea image inayoeleweka kabisa. Hii kitu unaweza kuielezea vipi kitaalamu?
  5. S

    Nitamshawishi vipi mwanangu ili aamini kwamba Rigobert Song anamzidi Samuel Eto'o miaka 5 tu?

    Rigobert Song amezaliwa 1976 wakati ambapo Samuel Eto'o amezaliwa 1981. Swali: Mbali ya umri, uzee unasababishwa na kitu gani kingine??
  6. mtwa mkulu

    Kumbukizi ya Dkt. Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme

    Kumbukizi ya Dr Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme.. unaniamsha unajua nimelala vipi uhuni huo.
  7. Mcanada

    Website ya UTT haipo hewani na nimeweka zaidi ya milioni 100 nimepanic. Vipi hatujapigwa huko?

    Mimi naishi ughaibuni (Diaspora) ila nimekuwa mwekezaji mzuri kupitia taasisi ya uwekezaji inaitwa UTT ipo hapo kwetu bongo na nimejiunga na mfumo wa kupokea gawio la faida kila mwezi uitwao BOND fund na sasa nimeshaweka zaidi ya milini 100 sasa mpaka muda huu nataka kwenda kulala akili inagoma...
  8. Beberu

    Una operate vipi branch za biashara yako huku zikikupa faida?

    ........... (Salamu) Wakuu kwa wale wafanyabiashara au wale wenye elimu ya biashara , nina biashara yangu moja naifanya, sasa kwa sasa nataka nifungue branch nyingine ya pili mtaa mwingine, (nipo Dar, Ubungo) Changamoto kwangu naona sina uzoefu wa kusimamia hizi biashara, hii ya kwanza naiweza...
  9. Zombie S2KIZZY

    Hii irudiwe au vipi wekeni hoja mchanganyiko

  10. sky soldier

    Hakuna mkristo mwenye jibu... Kama ndoa inasaidia kukwepa zinaa ni vipi mtu akinyimwa tendo mwaka mzima haruhusiwi kuongeza mke wala kuvunja ndoa?

    Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa) Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima. Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke. Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo...
  11. Half american

    Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

    Kwa maeneo niliyopo umeme haukuwahi kukatika licha ya hali ya ukosekanaji wa umeme kwa muda unaondelea kwenye baadhi ya maeneo nchini. Leo naamka umeme hakuna nikajua ni luku imeisha kumbe tayari washachukua umeme wao. Hali ni tete kwa wanaotegemea umeme kwenye kuendesha biashara zao, sijui hii...
  12. Mwizukulu mgikuru

    Kuvunja undugu na ndugu zako wa damu wanaokutakia mabaya ni kosa?

    Wasalam ndugu zangu wana JamiiForums, ni mara nyingine naleta kwenu mada nyingine. Vitabu vya dini vimekuwa vikituhusia sana tusivunje undugu kwa matatizo au changamoto za hapa na pale zinazotokea aidha kwenye jamii zetu au familia zetu, lakini kumekuwa na sababu nyingi zinazopelekea ndugu...
  13. badison

    Nini maana ya kuuza Nafsi kwa Shetani? what shall it profit a man, if he shall gain the whole world, and lose his own soul?

    Inner peace is a new success. Ndugu zangu wanadamu leo napenda nitoe elimu kidogo kuhusu suala la kuuza Nafsi au kwa kizungu selling your Soul. Binafsi naamini shetani yupo na pia shetani ni mjanja sana lakini watoto wa Mungu tunajua mbinu zake za kuwapoteza wanadamu. Waefeso 6: 12 inasema...
  14. Mto Songwe

    Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)

    Swali mezani: Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza? In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common...
  15. sky soldier

    Kwa game za mpira matoleo ya simu naweza vipi kucheza friendly au ligi kwa kuchagua timu kirahisi, Sina muda wa kujenga vikosi online

    Huwa napenda sana kucheza game ya mpira kwenye playstation, x box na pc kwasababu mambo ni chap chap, ukiwasha game waweza kuchagua timu unayotaka unazama uwanjani kulisakata kabumbu. Kwenye game za simu nimeshusha dls na fifa naona ni mpaka ujenge vikosi, huo muda sina kwakweli, hii kitu ipo...
  16. Q

    Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

    Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja. Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia...
  17. Sildenafil Citrate

    Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  18. Kidagaa kimemwozea

    Mjadala: Je, serikali inaweza kuwasaidia vipi vijana kujiajiri?

    Karibu mdau tujadili nafasi ya serikali katika kuwezesha vijana kujiajiri.
  19. voicer

    Mzee Kikwete anatakiwa kuelewa kuwa Dini ni Siasa na Siasa ni Dini

    MHESHIMIWA KIKWETE SISI WATUMISHI WA MUNGU HATUWEZI KUTOFAUTISHA SIASA NA DINI KWA SABABU SIASA NI DINI NA DINI NI SIASA. Na Mwandishi wetu Mzalendo Mtanganyika toka Ughaibuni. 20 August 2023. 16:30 pm Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na...
  20. FRANCIS DA DON

    Inawezakana vipi dollar iadimike halafu bidhaa zimefurika Kariakoo kiasi hiki na hata wanunuzi ni wengi pia?

    Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei! Sasa iweje pawe na...
Back
Top Bottom