Habari zenu, Giving back to the community ni program moja nzuri sana ya kuirudishia jamii au kuwafanyia jambo jamii kwa kujitolea, tumekua tukiona baadhi ya makampuni wakifanya donation au charity events, sio makampuni au taasis zote zinafanya ili jambo, Kuna baadhi ya viwanda vilivyopo Tanzania...