Hellow.
Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.
Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu.
Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo...
katika watu wakuangiliwa wenye njaa na wenye uchu ni hawa watumishi wa sehemu hizi mbili halimashauri au manispaa.
chochote kitakacho anzishwa kuwe na mradi mfano masoko,stendi,maeneo ya viwanja na n.k cha kwanza wanajimilikisha wao watumishi ndani ya mradi.
usije shangaa masoko mengi makubwa ni...
Nchi ya Israel inawalipa dollar 1200 Wafanyakazi wa mashambani na ujenzi.
Hii pesa ni nyingi sana kwa maisha ya Afrika. Baada ya miaka mitano maisha ya mtu yatakuwa yamebadilika Sana. Kama ni nyumba umejenga
Lakini cha kujiuliza, ni kwanini nchi ndogo kama Israel inaweza kuajili watu wengi...
Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani.
Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram,
TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌
NAFASI ZA AJIRA MPYA
Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za...
Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo, Wilaya ya Butiama wamerejea kwenye mgomo na wakulala ofisini wakishinikiza Mwekezaji wa Mgosi kulipwa mshahara na malimbikizo, ikiwa ni wiki moja tu tangu walipositisha mgomo baada ya kuahidiwa kuwa watalipwa Januari 11, 2024...
Siku chache baada ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu, CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara kufanya mgomo wakishinikiza kuliwa mshahara wao wa miezi miwili, uongozi wa Mgodi umetoa ufafanuzi.
Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango yao katika mfuko wa...
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA.
Chanzo gazeti la Mwananchi.
Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023.
Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR...
Wafanyakazi wa mgodi wa Dhahabu CATA MINING uilioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara, wameanza mgomo wa kutofanya kazi na kuamua kulala katika ofisi za mgodi huo, wakishinikiza uongozi wa Mgodi kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao.
Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango...
Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"
SIFA ZA WAHITAJIKA
-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care
OFISI INAJIHUSISHA...
Mhandisi wa Tesla wa kiwanda cha Giga Texas cha kampuni karibu na Austin aripotiwa kuvamiwa na Roboti na kujeruhiwa.
Mashuhuda wawili walishuhudia kwa hofu wakati mwenzao aliposhambuliwa na mashine iliyoundwa kushika na kuhamisha vipande vipya vya gari vilivyotengenezwa kwa alumini.
Roboti...
Habari,
Naomba mtusaidie kuizungumzia kero yetu hii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hususani Idara ya Elimu.
Na hii imekuwa kama kero sugu. Afisa Elimu amekuwa na kawaida ya kuwahamisha walimu vituo vya kazi na ukiomba ulipwe kwa kuwa amekuhamisha yeye atakuzungushwa muda mrefu mpaka mwisho...
Anonymous
Thread
habari
kazi
vituo
vituo vya kazi
wafanyakazi
wao
wilaya
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel...
CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), kimeipongeza Serikali kwa kutoa sh. bilioni 2.4 za malipo ya wanachama wao waliokuwa wanafanya kazi katika Kiwanda cha Nguo Urafiki ambapo madai yao yamedumu kwa kipindi cha miaka 10.
Mball na serkali kutoa...
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend...
Hivi ndivyo ilivyo katika Camp ya Itigi, sisi Wafanyakazi wa Mradi wa Reli ya SGR, tumeandamana hadi kwa HR wa Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi tukitaka kujua majaaliwa ya stahiki zetu baada ya kufukuzwa kazi.
Mkandarasi Mkuu ametangaza punguzo la Wafanyakazi, sasa kila tukiuliza kuhusu...
Ndugu Waziri wa Afya Ummy Mwalimu,
International Center for AIDS Care and Treatment Program - ICAP, Mkoa wa Mwanza, shirika halijalipa mishahara ya watumishi wake kwa miezi 3 sasa. Hakuna taarifa kwanini hawajalipa mishahara kwa miezi 3. DAS na RACC (wasimamizi wa kazi na mikataba) hawatoi...
Taarifa ya kusitishwa kwa malipo iliripotiwa kwa mara ya kwanza na FT, huku wafanyakazi wakipata nyongeza ya mishahara ikiwa tu watapandishwa vyeo rasmi, kabla ya mapumziko ya Krimasi
Inasemekana kwamba washirika wa KPMG hulipwa zaidi ya pauni £700,000 kila mwaka kabla ya malipo ya ziada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.