wakati mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuvundika matunda yaive kwa wakati mmoja (fruits ripening chamber)

    Kwenu wataalamu, Ukiacha njia ya asili ya kuvundika ndizi kwa kuchanganya na parachichi ili kuachialia gas ya ethylene inayoharakisha mchakato wa ndizi mbichi kuwa ndizi mbivu, nimeona kuna reefer container ambazo ndizi huwekwa na kupuliziwa hiyo gas ya ethylene na kufanya ndizi ziive kwa wakati...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Jf User elfu 16 online Kwa wakati mmoja ila kinachonishangaza wageni ni 96% na members ni 4% Nini kifanyike

    Moja ya uhai wa jukwaa la mtandao wa KIJAMII ni kile kiwango Cha members wengi wenye interaction Jf inaelekea miaka zaidi ya 20 karibu sawa fb ya 2004 Pamoja na kuwa jukwaa Bora Tanzania lakini tunatamani Hawa vijana walioanzisha hili jukwaa wanafikia Eneo kubwa zaidi Lakini Kwa kazi nzuri hii...
  3. JamiiForums Tanzania Ongezeko la gharama za 'direct cost' UDSM kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa kwa wanafunzi

    Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo πŸ‘‡πŸ» Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%. Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani Magufuli & CoICT 800-1,300/= na Mabibo 500-1,000/=. Ongezeko hili kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi, Mutiny, Coup d’état na Human shield: Je, kuhamasisha raia na jeshi kwa wakati mmoja kunaweza kuingia kwenye uhalifu wa kivita?

    Na Mwandishi Maalum Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu. Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Na nyie vitu vya ndani huwa vinaisha kwa wakati mmoja kwa kufuatana?

    Kuna hili jambo la vitu kuisha kwa wakati mmoja, tena huwa vinaanza pale ambapo hata akiba ya pesa ipo kidogo. Mara Gesi imeisha, hujakaa sawa unga unakata, mchele, sukari yaani ni kama vinapeana taarifa ya kuisha unakuta ndani ya wiki moja vitu vitatu vinaisha ila ukiwa na hela vipo tu Hii...
  6. JamiiForums Tanzania Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima!

    πŸš—βš‘ KWANINI ABIRIA WAKO WAKOSE CHARGE? Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima! Jipatie Car Fast Charger inayoweza kucharge hadi simu 6 kwa wakati mmoja πŸ”₯ πŸ”Œ Type-C + USB (Fast Charging) πŸ“ Cable ndefu – inafika hadi siti za nyuma πŸ’‘ LED ya kisasa inayovutia πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ Inafaa kwa dereva...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Ninaponunua umeme na kukatwa 3% ya REA na 18% ya VAT si ni sawa na kulinipisha kodi mara 2 kwa kitu kilekile?

    Unaponunua umeme unakatwa Kodi ya Ongezeko la Thamani ambayo ni Asilimia 18 ya pesa uliyotoa, kisha TANESCO wanakukata 1% wanasema ni hela ya EWURA, baada ya hapo . TENA unakatwa 3% eti pesa ya REA. Je, kwa nini mlaji anaigharimikia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na...
  8. JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara unaoendelea maeneo mengi ya Dar kwa wakati mmoja, Je, ilifanyika tathmini ya awali kubaini athari?

    Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na kilio cha foleni hasa kutokana na ujenzi unaondelea katika meneo mengi hususani njia za mwendokasi pamoja na utanuzi wa barabara za kawaida. Natumaini ni matamanio ya kila mmoja wetu humu kuona...
  10. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?

    Habari, Naomba kuuliza hili swali Kwa wajuzi wa mambo, Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?
  11. JamiiForums Tanzania Wachina sasa ni kila sehemu inafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja

    Yees, baada ya wabongo wenzetu kuingiza tamaa na kutunyoosha kwa bidhaa kutokea china wakiuza na kupata faida zaidi ya mara 4, na endapo ukijichanganya kwa hawa madogo wanaojiita winga wa kariakoo utanunua kwa bei mara 10 zaidi. Mfano blender ya 3000 watakuuzia 120,000/=... Ukijichanganya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics. Jibu la BOT...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  14. JamiiForums Tanzania App gani naweza kuitumia kutuma sms nyingi kwa wakati mmoja?

    Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
  15. JamiiForums Tanzania Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  16. JamiiForums Tanzania Kama fedha isingelikuwa tatizo kwako, ungemiliki magari mangapi kwa wakati mmoja?

    Taja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia. Kwa mfano: 1. La kwendea kazini! 2. La kwendea sokoni! 3. La kuwapelekea watoto shule! 4. La safari za mbali! 5. N.k.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata rice cooker yenyewe uwezo wa kupika angalau kilo 4 Kwa wakati Mmoja?

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
  18. JamiiForums Tanzania Lengo la Lissu ni kuua ndege wawili kwa wakati mmoja. Wenye akili tumemuelewa, ila wasio na akili hawajamuelewa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili kwa wakati mmoja ili aweze kufanikiwa lengo lake la muda mrefu, japo inaonekana wazi kuwa kwa aina ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Mashabiki na Wachambuzi wote wanaamini kua hizi team haziwez kua bora kwa wakati mmoja?

    Habari mwanajukwaa la michezo, Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana. Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
  20. JamiiForums Tanzania Aron Kagurumjuli, unawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

    Wakuu salaam Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi. Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani. Lakini pamoja na yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…