wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Chalamila pamoja na ukuu wako wa mkoa acha kuwadharau wakazi wa Mbagala.

    Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau iliyopindukia. Chalamila inawezekana umewahi kumpata mke wa mtu huko Mbagala mlipokuwa mkinywa pombe, hii...
  2. Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  3. Tumia Incognito Kwa Usalama wako Mtandaoni

    Je, umewahi kusearch vitu Mtandaoni ambavyo hupendi mwingine akishika simu yako aone ? Mfano Ukaingia google kwenye website fulani au taarifa fulani alafu taarifa zako zikabaki hapo (search history) na mwingine akashika simu yako akaona ulichokuwa unakitafuta mtandaoni. Kuna mambo mengine huwa...
  4. Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

    Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako? Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
  5. sijakuchukulia mkeo nimemuokota kwenye jalala la moyo wako

    Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo. Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho chembamba kikimtoka, Nilimtazama nikiwa ndani ya gari na nilipozidi kumuangalia niliona kama vile...
  6. Wazee wa simba ulizen mbona wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wako moto shida iko wapi????

    Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno Kituo kinachofwata Fredinhoooooo Tunataka kuwaprove wrong....
  7. O

    Hakuna aliyewahi kuwa masikini kwa kutoa.

    Poleni na majukumu wana-JamiiForum. Ni imani yangu wote mpo salama. Kama kuna anayepitia changamoto Mungu awe faraja kwako. Nimekuwa mfatiliaji wa kipindi cha 'Ushauri wako' kinachorushwa saa 2-3 asubuhi siku ya Jumapili Radio Free Africa. Kwenye hiki kipindi huwa wanahojiwa wahitaji...
  8. Kwa sasa nchi nzima iko chini ya udhibiti wa dola, iwe baa ya nyota tano au kilabu cha komoni na chibuku, kijiwe cha boda,.gesti, wako kila kona

    Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali. Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu...
  9. M

    Serikali mnaibiwa kwa watu hawa wakishirikiana na maafisa Utumishi( wale waliodanganya wako masomoni na wale wa likizo bila malipo)

    Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia...
  10. D

    TCRA Polisi wako wapi watu wanaibiwa kupitia hii mikopo mtandaoni? Jerry Silaa msaidie Rais

    Kuna wimbi kubwa sana la matapeli likitumia majina ya watu maarufu km Mohamed Dewji(MO), Tulia Ackson, Jokate Mwegelo n.k. Hawa watu ni matapeli na wana mtandao mkubwa, unakuta kwenye comments wanashukuru kuwa wamepata mikopo kumbe ulaghai ili uiingie mkenge. Namna ya kukuingiza mkenge...
  11. Uzito wa Vicoba vyako uzingatie mzani wa uchumi wako

    💼 MHADHARA WA 11: Hakikisha uzito wa VICOBA/au MICHEZO YA KUPEANA HELA unayocheza usizidi Mzani wa MFUKO (UCHUMI) wako. Kwa mfano upo kwenye uanachama wa VIKUNDI VYA MICHEZO YA KUPEANA HELA au VICOBA zaidi ya kimoja, halafu kila ifikapo muda wa marejesho ya madeni uliyokopa au muda wa kuweka...
  12. A

    Kocha Fadlu Kumbuka kuwaandaa wachezaji wako kwa mikwaju

    Zipo kila dalili mechi ijayo dhidi ya Walibya ikaisha kwa sare tasa.. Naomba nimkumbushe Mwalimu kwamba, Simba siku hizi imekuwa haina record nzuri pale inapotokea mechi zake kuamuliwa kwa matuta na timu za nje. Hii ni kwasabu makocha wamekuwa wakitoa zero priority kwny ku train timu kwa...
  13. Dunian hapa ukitaka kupoteza muda wako we jarbu kutafuta usawa katika mapenzi

    Duniani hapa ukitaka kupoteza muda wako we jaribu kutafuta usawa katika mapenzi, kiufupi hilo ni swala ambalo haliwezekani hata kidogo Yaani kila mtu unayemuona ana matamanio yake ana vigezo vyake anavyopenda kwa mtu ana madhaifu yake, na ukiachana na hayo yote ukishaambiwa hiki kitu...
  14. Polisi nao wako hatarini wachukue tahadhari ya maisha yao na familia zao

    Kama kuna watu wanaotakiwa kusoma alama za nyakati vizuri basi watu hao ni polisi wetu. Kwa muda mrefu wamejiweka juu ya sheria kwamba wanaweza kuvamia popote na kumkamata mtu yeyote bila kufuata sheria. Hawatoi vitambulisho, hawawatumii viongozi wa eneo husika, wanatumia, maguvu bila sababu...
  15. S

    Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

    Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
  16. S

    Mwanaume, usiharakishe kujiaminisha kuwa mwanamke uliye naye ni wa maisha. Mpime siku zote za maisha yako.

    Na Chibueka: Mwanamke anajua aliolewa na mwanaume mwema kutoka wiki ya kwanza ya ndoa yao. Mwanamume anaweza tu kuthibitisha alioa mke mwema siku za mwisho za maisha yake. Hii ni kwa sababu wanawake hawatabiriki na wanaweza kukubadilikia wakati wowote. Kwa kawaida mwanamume hapati faida...
  17. Inakera sana pale unapopanga kukutana na demu wako kwa ajili ya kuburudika lakini mwenzio anakuja na kijiji

    Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti. Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya naongea na simu napita mlango wa nyuma na simu nazima, Badilikeni.
  18. Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

    Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
  19. Mwanaume usikwepe majukumu yako kwa mpenzi wako umpendaye

    Mwanaume kamati hii... Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi. Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki. Mnunulie losheni, manukato, vipodozi na mavazi mazuri apendeze,mtafutie usafiri mjengee nyumba na umtunze maisha yake yote...
  20. Upekee wako utathaminika tu ukiupeleka mahali panapohitajika

    Mzee mmoja, tumwite Hekima, aliamua kumpa kijana wake gari lake la miaka mingi baada ya kuhitimu masomo ya Chuo Kikuu. Kabla ya kumkabidhi, alimtaka alipeleke kwa watu tofauti ili kujua thamani yake halisi kwa wakati huo. Gari lenyewe ni Volkswagen Beetle, na alishalitumia kwa zaidi ya miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…