Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena.
Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume, wanahitimu kwa asilimia kubwa zaidi kuliko wanaume, na wana uhuru mkubwa zaidi kuliko wanawake wa miongo...