Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Nne la Kitaifa la Uboreshaji wa Huduma za Maktaba litakalofanyika Oktoba 20 hadi 22, mwaka huu, katika viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya...