Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria?
Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa...