Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubali zaidi
1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders .
2. Wentworth Miller aka MICHAEL SCORFIED kwenye prison break
Wa juuu anajulikana kwa unababe katika...