wiki

A wiki ( (listen) WIK-ee) is a hypertext publication collaboratively edited and managed by its own audience directly using a web browser. A typical wiki contains multiple pages for the subjects or scope of the project and could be either open to the public or limited to use within an organization for maintaining its internal knowledge base.
Wikis are enabled by wiki software, otherwise known as wiki engines. A wiki engine, being a form of a content management system, differs from other web-based systems such as blog software, in that the content is created without any defined owner or leader, and wikis have little inherent structure, allowing structure to emerge according to the needs of the users. Wiki engines usually allow content to be written using a simplified markup language and sometimes edited with the help of a rich-text editor. There are dozens of different wiki engines in use, both standalone and part of other software, such as bug tracking systems. Some wiki engines are open source, whereas others are proprietary. Some permit control over different functions (levels of access); for example, editing rights may permit changing, adding, or removing material. Others may permit access without enforcing access control. Other rules may be imposed to organize content.
The online encyclopedia project, Wikipedia, is the most popular wiki-based website, and is one of the most widely viewed sites in the world, having been ranked in the top twenty since 2007. Wikipedia is not a single wiki but rather a collection of hundreds of wikis, with each one pertaining to a specific language. In addition to Wikipedia, there are hundreds of thousands of other wikis in use, both public and private, including wikis functioning as knowledge management resources, notetaking tools, community websites, and intranets. The English-language Wikipedia has the largest collection of articles: as of February 2020, it has over 6 million articles. Ward Cunningham, the developer of the first wiki software, WikiWikiWeb, originally described wiki as "the simplest online database that could possibly work." "Wiki" (pronounced [wiki]) is a Hawaiian word meaning "quick."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wallpaper zangu za wiki hii ya maombolezo

  2. JamiiForums Tanzania Wiki tano sijaona status updates Ajira Portal

    Wakuu toka nimeApply kazi ajira portal hadi sasa ni mwezi toka deadline ya kuomba kazi. kumbuka hii ni mara yangu ya kwanza kuApply kazi za government. Lakini ukiangalia kwenye hiyo attachment, nilikosea anwani, ikawa rejected, lakini nyingie hadi sasa sijaona status update yoyote. Swali...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Albania na France maandamano yanaenda wiki, hakuna hata mmoja ameuawa

    Hapa masaa kidog tu tu 518 maiti as per hotuba ya chande! or over 10,000 maiti as per upinzani. Afrika ni laana!
  5. JamiiForums Tanzania Live From Sumbawanga: Kilele Wiki ya Vijana, Kuzimwa Mwenge na Nyerere Day, Sumbawanga Kuchele!, Ila Rangi ni Yanga!, As If ni Tukio la Chama Flani!

    Wanabodi, Mimi mwana Bodi mwenzenu niko hapa mjini Sumbawanga kwenye kilele cha Wiki ya Vijana, Kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru na Sikukuu ya Mapumziko ya Nyerere Day. https://www.youtube.com/live/7Skt4UMDoVs?si=WEikF_1rmCQaZX2k Karibuni Tufuatilie, Mzee Pasco Rejea; Hili la Vijana wa Chama...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA waomba michango kukarabati bomba Pugu Mwakanga

    Naomba nitoe kero kuhusu huduma ya maji katika maeneo ya Pugu Mwakanga. Bomba kubwa la DAWASA linalosambaza maji kwa wateja limeharibika kutokana na kuchakaa. Taarifa zilitolewa kwa DAWASA, na wahusika walifika eneo la tukio na kujionea hali halisi. Hata hivyo, cha kushangaza, badala ya...
  7. JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
  8. JamiiForums Tanzania PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  9. JamiiForums Tanzania Shirika la Reli(TRC) limegoma kushiriki wiki ya huduma kwa mteja.

    Kumekuwa na malalamiko na tuhuma kuwa Shirika la Reli limefuta safari zake za SGR saa 3na asubuhi, lakini katika hali ya dharau shirika limegoma kujibu au kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo! Sasa wateja watapata wapi jibu au wamtake waziri wa uchukuzi ajibu kwa niaba ya shirika?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwamposa:CHIVAYO Alinipigia Simu Wiki Aliyokufa Akitaka Kuja Kwenye Mkesha Lakini Nilimkatalia Ili Watu Wasije Fikiria ndiye anayenipa Hela.

    Ndugu zangu Watanzania, 😄😄😄 Hayo Ni Maneno yametamkwa Na Mtumishi Wa Mungu Nabii na Mtume Boniface Mwamposa akisema Eti Mfanyabiashara Na Tajiri kutoka Nchini Zimbabwe CHIVAYO Eti alimpigia Simu wiki ile aliyefariki. Eti alimpigia ili aje kwenye Mkesha wake . Lakini Eti Mwamposa alikataa kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabata Barakuda maji yanasumbua, inaweza kupita wiki 2 hadi 3 bila kutoka

    Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu. Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
  12. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI

    DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo katika mikoa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

    Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama. Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
  14. JamiiForums Tanzania IKULU WIKI HII

  15. JamiiForums Tanzania Nini chanzo Cha kifo Cha mpishi wa Emmanuel nchimbi wiki iliyopita?

    Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi je Kuna mwenye kujua chanzo?
  16. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Kishiri limeendelea kupata huduma kila wiki kadri migao ya maji inavyotekelezwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka. MAJIBU YA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto uliyoipata, tafadhali tujuze ni...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna maeneo hii Tz unaweza kukaa wiki 3 bila kuona jua ukitembelea baadhi ya misimu

    Mbeya kipindi cha mvua na chenyewe kunakuwa na siku nyingi za bila jua. Moshi leo ni siku ya 4 hatulioni jua. Ni mawingu yametanda tu muda wote hata kama hakuna mvua. Wenyeji wananiambia sometimes inaweza kufika wiki 2-3 pako hivi Uzuri wa hali kama hii ni kwamba unaweza kutoka nje hata mchana...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  19. JamiiForums Tanzania Mabasi kuondoka imekuwa kheri: Malori na ICD Wiki jiayo

    Inasemekana Malori na ICD zote kuhamishiwa Bandari kavu ya Kwala kama Magufuli alivyopanga na kujenga bandari kavu na kupeleka Treni kule. #Magu- mtanikumbuka.
  20. JamiiForums Tanzania Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 (IWTz2026) yazinduliwa Dar, kuangazia DIRA 2050

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa ubunifu wakati wa uzinduzi rasmi wa Wiki ya Ubunifu Tanzania (IWTz 2026) inayotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…