Jaman habarini ningependa kuuliza kama ambavyo tumezoea kila siku wasanii karibia kote duniani huimba nyimbo kwa ajili ya kuwasifu wakina mama. Je ningependa kuuliza kuna mtu ata mmoja anaujua wimbo wowote ulioombwa kuwasifu wakina baba maana sio kila siku tunasikiliza za kuwasifu wakina mama tu...