zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ninauza mwani na biadhaa zake

    Wakuu nauza mwani na biadhaa zake mfano mafuta,sabuni vidonge n.k.kama unalijua soko ndani na nje ya nchi karibu tufanye biashala.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu matibabu ya macho na gharama zake

    Mke wangu ana matatizo ya mcho ya kuona mbali aliwahi kuugua macho akapona kama miaka 8 imepita. Sasa nimejaribu kufatilia kidogo nikasikia kitu kinaitwa mtoto wa jicho na matibabu yake ni kubadilishiwa lensi tu. Basi shida yangu nataka kujua makadirio ya matibabu yanaweza kufikia kiasi gani...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA MLIPENI RENATUS FEDHA ZAKE

    Aliyekuwa mwajiriwa wa CHADEMA kama Katibu wa Kanda ya Serengeti kuanzia Julai 27, 2013 hadi Desemba 31, 2020 anaendelea kupigania haki yake katika Mahakama kufuatia kuzungushwa na uongozi wa CHADEMA kwa muda mrefu, huenda Nzemo akalipwa fedha zake baada ya kutumia nguvu ya kisheria kudai haki yake.
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazifunga akaunti za benki za CHADEMA hadi Renatus Nzemo alipwe stahiki zake za utumishi

    Inaelezwa kuwa Akaunti za benki za Chadema zimefungiwa hadi wamlipe Renatus Nzemo madai yake ya stahiki zake za Utumishi. Who's Renatus Nzemo.
  5. JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga, hivi huyu Yericko anayedandia ubini wa Nyerere wazazi wake na ndugu zake wanajisikiaje?

    Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje? Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
  6. JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanaume hayana tofauti na Nyeti zake

    Kama zilivyo nyeti zetu Hazijawahi kuwa ngumu au kukakamaa hadi pale wazo la mwanamke kuja kichwani au mwanamke aje laiv laiv.
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halotel iboreshe huduma zake Zanzibar, huduma ya Internet yao ina changamoto

    Naishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B, ni mtumiaji wa Mtandao wa Halotel kwa takribani miaka nane sasa, lakini kwa kipindi hiki nimekuwa nikikumbana na changamoto ya kutopatikana kwa huduma ya mtandao katika baadhi ya maeneo. Nikifanya safari kutoka Mkoa wa Mjini...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Madhila wanayopata Iran kufuatia kuwekewa vizuizi kwenye bandari zake zote na Marekani

    Mamia ya malori yamekwama bila kufanya kazi katika mpaka wa milimani wa mashariki mwa Uturuki, kwenye njia kuu ya kuingia Iran. Kituo hicho cha mpakani kimekuwa muhimu zaidi kiuchumi kwa Tehran, huku Jeshi la Wanamaji la Marekani likiweka vizuizi katika bandari za Iran. Rais wa Iran, Masoud...
  9. JamiiForums Tanzania SERIKALI ITUMIE RASLIMALI ZAKE VIZURI KWA AJILI YA UOKOZI

    Maisha ya Mtanzania yana thamani gani? Ni swali najiuliza kila siku linapokuja maswala ya majanga hapa nchini ya maji, moto, ajali za barabarani na mengineyo. Ajali ya ghorofa kaiakoo, ilichukua wiki kufanya zoezi la uokozi Meli kuzama Zanzibar na Lake Victoria mpaka leo bado kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akapokea gari jingine jipya binafsi kutoka kwa wafaddhili wa siasa zake chadema.

    Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma. Je, kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
  11. O

    JamiiForums Kenya Jirani akitupa duvet yako, unaruhusiwa kumwagia maji machafu nguo zake ambayo ameanika?

    Mzozo kati ya majirani umeibua mjadala kuhusu haki, mipaka na namna tunavyoshughulikia migogoro katika maeneo tunayoishi. Mwanamke mmoja amesimulia jinsi alivyokasirishwa baada ya jirani yake kudaiwa kutupa duvet yake mara kwa mara. Badala ya suala hilo kumalizika kwa mazungumzo, hali ilizidi...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Nigeria amsimamisha Rais William Ruto New York, amshukuru kwa hatua zake kwa Afrika

    Rais William Ruto akiwa New York, Marekani, alipata wakati wa kukutana na mwanamke kutoka Nigeria aliyemkaribia na kumshukuru kwa kile alichosema ni mchango wake kwa Afrika. Katika video hiyo, mwanamke huyo anamwambia Ruto, “Your Excellency, we want to thank you…”, huku akieleza shukrani zake...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nani anampatia Mwaipopo mshiko wa kuwagawia wanahabari kwenye Press Conference zake?

    Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate hela. Hata kama waandishi ni zaidi ya 30, kila mmoja anachukua chake kisichopungua Sh. 50,000. Pia...
  14. JamiiForums Tanzania Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

    Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac! Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB. Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji...
  15. JamiiForums Tanzania Mabango ya kuwaka gharama zake huwa zipoje

    Mm sio mteja ila nataka kujua sababu nimepata idea ya kutengeneza mabango ya kuwaka kwa kutumia tv chakavu. Mfano hili ni la tv nch 19 na pia nina tv nch40 je hili la nch 40 nikitaka kumtengenezea mteja nimchaji ngapi? Ni kubandikia tu stika basi. Ni flat flat kweli sio zile zinakaa taa kwa nyuma.
  16. JamiiForums Tanzania Diva the Boss Ailipua Wasafi Media Akidai Stahiki Zake za Miezi Minne, akimtaja na Mwigulu Nchemba

    Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 . Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
  17. JamiiForums Tanzania Tunafuta ndugu zake

  18. JamiiForums Tanzania Sisi Wakurya tunasema 'Utajiri wa Heche , ni Biashara zake mbalimbali ikiwemo Madini. LEMA na Genge lako mnajisumbua

    Tunaomjua HECHE, tunasema,Pesa za HECHE ni za Haki na Halali.
  19. JamiiForums Tanzania Je sayansi imeweza kuelezea kila kitu au hata yenyewe ina limitations zake? haswa kwa dunia ya kiroho na imani ni ukweli upi upo nyuma yake

    KAribuni
  20. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni salama kuanzisha mapenzi na rafiki yako wa karibu (Best Friend)? Shuhuda na Changamoto zake

    Wakuu salama, Kuna hili suala limekuwa likinitofautisha sana mawazo na marafiki zangu, nikaona si vibaya tukaleta hapa jukwaani ili tupate uzoefu wa pamoja na kubadilishana mawazo. Wote tunajua kuwa urafiki wa dhati ndio msingi mkuu wa mahusiano yoyote imara ya kimapenzi yanayodumu. Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…