09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Sitarajii kusikia UAMSHO nao wapo katika waliopewa msamaha.....Sitarajii kabisa
 
Ule msamaha wa wafungwa ni msamaha wa rais, aliyetoa msamaha kwa wafungwa hao ni rais Magufuli. Kitendo cha kusema huu msamaha sio wake ni msamaha uliotolewa na Mungu, by canotation yeye ni mungu!. Alipaswa aseme msamaha huu ni Mungu ndie ameniwezesha mimi rais Magufuli niwasamehe nyinyi hivyo ni Mungu amenitumia mimi kuwasamehe. Msamaha wa wafungwa ni msamaha wa rais na sio msamaha wa Mungu!.
P
Personal interpretation is accepted which means it cannot be taken as general meaning. Kwa Pascal Mayalla kaelewa hivyo. Tumkubalie ila asituaminishe ndivyo Rais alivyomaanisha!
 
Kwa hakika Mbowe anaweza na ana kismart. Anaongea Hadhara yote kimyaaaaaaa!!! Ametema madini mwanzo mwisho
 
Karibu wote waliozungumza wamesema hivyo isipokuwa Bwana Yule ambaye aliongelea haki na Freeman kwa muda mfupi aliopewa alitoa ujumbe mzito kwa mtu aliyesikiliza maneno yake. Alikua very diplomatic under the circumstances but firm and clear kuwa nchi inahitaji maridhiano na mshikamano. Mwenye kusikia sikie na mwenye kubeza afanye hivyo. Viongozi wengine wa upinzani naona wanafurahia kinacho endelea.
 
Hakuna kitu cha maana wanacho onyesha kila sherehe ni upuuzi tu ni bora wawe wanawaachia na majeshi mengine nayo yanaonyesha mbwembwe zao kama polisi, magereza na ikibidi hata na zima moto.

Yani komandoo unatumia dk 10 nzima kushuka kwenye ndege na dk 5 kujifungua kamba, yaani kama unapigana na wale wavaa makobasi Usha pigwa RPG kitambo sana.
 
Kuwa upinzani sio dhambi Eti kanyoshwa mbowe ajanyoshwa ni kawa muelewa tu hiyo kauli ya kunyoshwa ni yakichochezi.
Unataka kusema alikuwa siyo muelewa? Unadhani kutoka kwenye kutokuwa muelewa nini kimefanyika kama siyo kunyooshwa? Hakika amenyooshwa na amenyooka , sote tutaanza kupiga makofi
 
Unapowatia jambajamba watesi wako na watukana wako mpaka wakaomba po ,unakuwa unajua unanguvu kuliko wao

Kweli Magufuli amewashika pabaya hao viumbe

USSR
Miongoni mwa siku rais Magafuli ameonekana akiwa na furaha iliyopitiliza ni leo. Ameonekana mwenye furaha, raha, bashasha na mwenye hisia za Kitanzania yenye umoja. Kuwepo kwa viongozi wa upinzania hasa hasa Mbowe wa CHADEMA kumeleta relief kubwa sana ya kitaifa.
Kuna mambo kumbe huwa yanamnyima raha Magufuli likiwemo hili la mgawanyiko wa Waranzania kwa itikadi zao.
Sherehe za leo zimenoga sana kuliko za miaka mingine.

Na kuna haja sasa ya sherehe hizi kuwa zinafanyika mikoani kwani Mwanza ime prove hilo.
 
Hongera sana Mbowe na wenzako kwa maamuzi ya hekima ,naona kesi za kisiasa zinaenda kufutwa.
 
Back
Top Bottom