Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Mbowe ni kiongozi MZURI ila washauri wake wa karibu ndio wanamshauri vibaya kushirikiana na serikaliMbowe awatimue wale washauri wake
Walikuwa wanamshauri vibaya
Mbowe ni kiongozi MZURI ila washauri wake wa karibu ndio wanamshauri vibaya kushirikiana na serikaliMbowe awatimue wale washauri wake
Walikuwa wanamshauri vibaya
Watu wa CCM Ni washirikina. Mwenge Ni uchawi 💯 pasee, hata wachawi wa Gamboshi waliposema watamuua mtu yeyote atakayempinga Magufuli hamkukemeaWanastahili pongezi
Hivi vile vibanda viwili makomando walivileta vya Nini? Vile vibanda vya mbaoHahahaha, yaani nimejiuliza ule muda uliotumika kule juu ktk helicopter km kuna adui si anawapunguza wote
Speed ndogo
Afadhali ile ban ingekuwa ya identifyUnapowatia jambajamba watesi wako na watukana wako mpaka wakaomba po ,unakuwa unajua unanguvu kuliko wao
Kweli Magufuli amewashika pabaya hao viumbe
USSR
Wengine wakipanda jukwaani wanaanza utani wa kuoa mke wa pili.Mbowe kaongea kijasiri...
''Mzee heshimu haki za binadamu...na dumisha umoja wa ki Taifa"
yaani kaongea 'short and clear'
huyo ndiye Kamanda wa ukweli.
Endelezeni basi huo uchawi tuoneHata kama ni wachawi bado ni watanzania! Na bahati mbaya serikali haitambui mchango wa wachawi na uchawi kwa ujumla. Km uchawi utaboreshwa kidogo na kutambulika tunaweza kuendelea km taifa.
Hivi vile vibanda viwili makomando walivileta vya Nini? Vile vibanda vya mbao
Hakuna kitu cha maana wanacho onyesha kila sherehe ni upuuzi tu ni bora wawe wanawaachia na majeshi mengine nayo yanaonyesha mbwembwe zao kama polisi, magereza na ikibidi hata na zima moto.
Yani komandoo unatumia dk 10 nzima kushuka kwenye ndege na dk 5 kujifungua kamba, yaani kama unapigana na wale wavaa makobasi Usha pigwa RPG kitambo sana.
Mambo haya tuwaachie wenyewe wa china utafurahi utasema kama movie vile lakini hii show yetu ni ukiwaki tu hakuna chochote 😂😂😂
Au kamwano DC wa Kisarawe kwa mbaali!Miongoni mwa siku rais Magafuli ameonekana akiwa na furaha iliyopitiliza ni leo. Ameonekana mwenye furaha, raha, bashasha na mwenye hisia za Kitanzania yenye umoja. Kuwepo kwa viongozi wa upinzania hasa hasa Mbowe wa CHADEMA kumeleta relief kubwa sana ya kitaifa.
Kuna mambo kumbe huwa yanamnyima raha Magufuli likiwemo hili la mgawanyiko wa Waranzania kwa itikadi zao.
Sherehe za leo zimenoga sana kuliko za miaka mingine.
Na kuna haja sasa ya sherehe hizi kuwa zinafanyika mikoani kwani Mwanza ime prove hilo.