09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Kiwaki-wacky wahuni wametohoa

wacky
/ˈwaki/
adjective
INFORMAL
  1. funny or amusing in a slightly odd or peculiar way.
    "a wacky chase movie"
Wahuni hao wakimalekani ndio wanatambua hivyo Urban slang huku sio hivyo sasa.
 
Sasa vile vibanda vilikuwa vya nini? Mi nilidhani watavibutua makombora halafu wamchukue MO mule ndani.Kumbe hamna kitu.
 
huyu mzee kila anapopewaga nafasi ya kuongea anasemaga hana la kuongea
 
Hivi ni sikukuu ya uhuru au ni sikukuu ya kumuenzi magufuli. Hivi ni nani aliyetuloga, kwa kushikiwa akili tu hatujambo.
 
Unataka kusema alikuwa siyo muelewa? Unadhani kutoka kwenye kutokuwa muelewa nini kimefanyika kama siyo kunyooshwa? Hakika amenyooshwa na amenyooka , sote tutaanza kupiga makofi
Mazuzu mko wengi sana nchi hii, yaani hata kujitambua hamuwezi, Donard Trump hakukosea aliposema tumnatakiwa kutawaliwa upya.
 
Onesho hilo limekuwa hovyo sana hivi kweli uokoaji wa namna ile hata kama kiongozi katekwa na panya road hawa makomando wataokoa kweli!!!!?,wamebugi sana,onesho la kitoto
Halafu wanaonyesha hadharani jinsi tukivyo wa ovyo kwenye anga hizo.
 
hata huku kwentuu, ile mboye kashika tu mike Maji yakakata,
ccm wana hujuma sanaaa....
 
Kama sherehe za National Day zitaendelea kufanywa namna hii ni bora zifutwe tu maana huko ni kutupa fedha za walipa kodi.

Kuna faida gani ya kufanya sherehe ambapo inakusanya viongozi wa serikari na wananchi wa mkoa mmoja tena kama spectators tu wa kuwapigia makofi.

Ndio maana kuna raia wengi sana na viongozi wa nchi mpaka ngazi za juu wanakosa uzalendo, National Day celebration zinahitajika jitihada za kuwafanya wananchi nao washiriki Tanzania nzima ata kama hitimisho lake linafanyika mkoa fulani.

Hizi ndio siku rasmi za kufanya nationalism propaganda na kujenga loyalty kwa mama Tanzania hiyo ndio mantiki ya hizi sherehe. Sio viongozi watumie mabilioni kuidhimisha wao mtanzania aliyekuwa kirombero hii siku inamgusa vipi.

Embu tujifunze kwa wenzetu wanavyosherekea Independence Day, Armistice Day, Remembrance Sunday, etc; hizo sherehe viongozi na wapika propaganda wanatumia jitihada nyingi sana kuona wananchi wanaelewa umuhimu na wanashiriki kuliko kuwafurahisha viongozi.

Ndio maana unakuta mtu anaitwa kutoa speech badala ya kuzungumzia umuhimu wa siku anaongea siasa za leo sasa hapo unaenzi nini; the whole thing is pathetic.
 
Back
Top Bottom