Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Dah hizo ni kauli za mjini yaan inamaana nyingi mfanoMkuu nimejaribu kudesa lakini sipati jibu saidia "UKIWAKI" ni nini? hata ukitumia codes ntafurahi tu uncle.
1. umefanya kitu cha ovyo,
2. unaleta vitu ambavyo sio sahii,
3. ukiwa mbabaishaji,
unaweza ukaitwa kiwaki kama nikitu cha ovyo ni ukiwaki tunaita nazani hapo utakuwa umeelewa.