Hoja yenye harufuya chukiUkitaka umaarufu, tengeneza tatizo kisha litatue
Personal interpretation is accepted which means it cannot be taken as general meaning. Kwa Pascal Mayalla kaelewa hivyo. Tumkubalie ila asituaminishe ndivyo Rais alivyomaanisha!Ule msamaha wa wafungwa ni msamaha wa rais, aliyetoa msamaha kwa wafungwa hao ni rais Magufuli. Kitendo cha kusema huu msamaha sio wake ni msamaha uliotolewa na Mungu, by canotation yeye ni mungu!. Alipaswa aseme msamaha huu ni Mungu ndie ameniwezesha mimi rais Magufuli niwasamehe nyinyi hivyo ni Mungu amenitumia mimi kuwasamehe. Msamaha wa wafungwa ni msamaha wa rais na sio msamaha wa Mungu!.
P
Nataka wenye akili tu ndo waelewe wajinga acha wapite patupuKuna jambo ndani yako ila umelileta kipuuzi
Kwahiyo unamaanisha kwamba furaha ya mwamba imesababishwa na Mbowe?
Endelea kushangaa ukistuka mambo yameshakwishaHata lema yupo. Kizuri hawajavaa magwanda. Ni shughuli ya kitaifa. Nashangaa marangi ya njano na kijani ya nini.
Chezea baba Jesca wewe!Kweli disipilini ipo. Shikamoo baba jesca. Naona wote wapinzani wapo uwanjani.
Kwahiyo unamaanisha kwamba furaha ya mwamba imesababishwa na Mbowe?
Waongezwe?Wafungwa 35,000 tu? Nchi nzima au?
Unataka kusema alikuwa siyo muelewa? Unadhani kutoka kwenye kutokuwa muelewa nini kimefanyika kama siyo kunyooshwa? Hakika amenyooshwa na amenyooka , sote tutaanza kupiga makofiKuwa upinzani sio dhambi Eti kanyoshwa mbowe ajanyoshwa ni kawa muelewa tu hiyo kauli ya kunyoshwa ni yakichochezi.
Unaonaje mkuu, hawatoshi..??Wafungwa 35,000 tu? Nchi nzima au?
Miongoni mwa siku rais Magafuli ameonekana akiwa na furaha iliyopitiliza ni leo. Ameonekana mwenye furaha, raha, bashasha na mwenye hisia za Kitanzania yenye umoja. Kuwepo kwa viongozi wa upinzania hasa hasa Mbowe wa CHADEMA kumeleta relief kubwa sana ya kitaifa.
Kuna mambo kumbe huwa yanamnyima raha Magufuli likiwemo hili la mgawanyiko wa Waranzania kwa itikadi zao.
Sherehe za leo zimenoga sana kuliko za miaka mingine.
Na kuna haja sasa ya sherehe hizi kuwa zinafanyika mikoani kwani Mwanza ime prove hilo.
Unaonaje mkuu, hawatoshi..??
Kwetu huku Busokelo, Rungwe walikata! TV zikawa giza tupu,Umekatika kwako tu hapa nyakato upo mwing tu usituchoshe