barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Mawazo yako kuhusu mbowe hapa ni ya kipumbavu sana sema naheshimu mawazo yako.Miongoni mwa siku rais Magafuli ameonekana akiwa na furaha iliyopitiliza ni leo. Ameonekana mwenye furaha, raha, bashasha na mwenye hisia za Kitanzania yenye umoja. Kuwepo kwa viongozi wa upinzania hasa hasa Mbowe wa CHADEMA kumeleta relief kubwa sana ya kitaifa.
Kuna mambo kumbe huwa yanamnyima raha Magufuli likiwemo hili la mgawanyiko wa Waranzania kwa itikadi zao.
Sherehe za leo zimenoga sana kuliko za miaka mingine.
Na kuna haja sasa ya sherehe hizi kuwa zinafanyika mikoani kwani Mwanza ime prove hilo.
Kuhudhuria hizi sherehe hakuitaji kunyoshwa ni kutambua umuhimu wa kitu na kukifanya sio swala la kunyoshwa ni amekuwa muelewa amejua hizi sherehe zinaumuhimu gani na zinamaana ipi katika Taifa ndio maana ameudhuria.Unataka kusema alikuwa siyo muelewa? Unadhani kutoka kwenye kutokuwa muelewa nini kimefanyika kama siyo kunyooshwa? Hakika amenyooshwa na amenyooka , sote tutaanza kupiga makofi
Ungeweka na picha sio wote wenye TVNaona wapinzani akili inaanza kuwaingia na ule moyo wa kupinga pinga kila kitu umeanza kuwatoka.
Kwa hili nawapongeza sana . kitendo cha Mbowe kuhudhuria sherehe za Leo ni hakika akili imemrudia.
Magufuli ana uwezo kumfunza mpinzani wake kwa vitendo.
Najua wapo wapuuzi wachavhe watapinga lkn hamkatazwi pingine tu lakini ukweli Mbowe amenyooshwa.
Msamaha Wa mungu mtu
“Baadhi yenu mtakumbuka miezi michache iliyopita nilitembelea baadhi ya magereza ikiwemo gereza ma Butimba ambapo nilishuhudia kuwepo kwa mlundikano mkubwa wa wafungwa na kwa taarifa niliyopewa hali kama hiyo haiku kwenye gereza hilo tu bali ni kwa magereza yote nchini na mpaka leo tuna wafungwa 17547 na mahabusu 18256 hivyo kwa pamoja wanakuwa 35803 hii ni idadi kubwa,” – JPM
View attachment 1286464
Mbona kana kwamba wamekukanyaga hapo ulipo mpaka unakufuru. usitamke ovyo jina la Bwana kwa matakwa yako ya kisiasa. Mungu hayupo kwenye uroho wenu wa kisiasa mpaka nduguyo unamwona mchawi kisa yupo chama tofauti.WACHAWI wamejaa uwanjani eti sungu sungu wachawi hawatakanyaga tens magogoni kwa jina la Yesu
Zito anaagenda za kidini ndio maana hakwendaMsimamo wa Zitto kususia hizo sherehe nauunga mkono. Sioni haja ya kushiriki sherehe na wahuni wowote wale kwa kisingizio chochote kile.
Zito anaagenda za kidini ndio maana hakwenda
USSR
Wewe mjinga wanachoonyesha uwanjani Ni michezo ya kijeshi sio mambo halisi ya kijeshi .Onesho hilo limekuwa hovyo sana hivi kweli uokoaji wa namna ile hata kama kiongozi katekwa na panya road hawa makomando wataokoa kweli!!!!?,wamebugi sana,onesho la kitoto
Maisha gan? Maviii"Leo ni siku muhimu sana na kwakweli Mwanza mmefunika, nimesikia Uwanja umejaa na kule nje kumejaa na Viwanja vya Furahisha vimekuwa, haijawahi kutokea hongereni sana”-JPM
“Nilipotembelea Gereza la Butimba niliumia sana kukuta Wafungwa kule wengine kesi zao za kubambikiwa na najua hii iko Nchi nzima, mwingine amefungwa kisa tu aligombana kidogo na Mpenzi wake au Mshikaji wake”-JPM
“Natangaza kuwasamehe Wafungwa wengi leo wapatao 5533 ni mara ya kwanza kwa msamaha mkubwa kama huu kutokea, najua Watu watashangaa lakini nimeamua kutumia Siku hii ya Uhuru kusamehe maana sifurahi kuongoza Nchi yenye Watu wengi Magerezani”- JPM
“Msamaha huu nilioutoa kwa Wafungwa 5533 utawahusisha Wafungwa waliofungwa kati ya kipindi cha siku moja hadi mwaka mmoja, na wale Wafungwa waliofungwa Miaka mingi kama 30, 20 au 10 na wamebakiza muda mfupi kumaliza” -JPM
Miaka58YaUhuru
Mungu mpe maisha marefu sana huyu rais wetu,
Maisha gan? Maviii
Mawazo yako kuhusu mbowe hapa ni ya kipumbavu sana sema naheshimu mawazo yako.