09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Mkuu nimejaribu kudesa lakini sipati jibu saidia "UKIWAKI" ni nini? hata ukitumia codes ntafurahi tu uncle.
Dah hizo ni kauli za mjini yaan inamaana nyingi mfano
1. umefanya kitu cha ovyo,
2. unaleta vitu ambavyo sio sahii,
3. ukiwa mbabaishaji,
unaweza ukaitwa kiwaki kama nikitu cha ovyo ni ukiwaki tunaita nazani hapo utakuwa umeelewa.
 
Hongera sana yangu Hamad Rashid, kwa kutowa Wosia wa Mwalimu ''.Zanzibar ni nchi huru,na Tanganyika ni nchi huru.Kwa makubaliano tuliunda Jamuhuri ya Muungano,Atakayelibeza hilo hatutakii mema''
Ama ile kauli ya Mh.Raisi
Kwa kauli yake ,ina maana Yeye ni mungu,
kwa kuwa yeye ndo aliye samehe,na wala si mungu.
Bali tukubali tuu kuwa Mkuu aliteleza,
lakini kama ikiwa alikusudia basi atakuwa kajikweza mno,na kwa hiyo
Mungu Una hiari kumpatiliza kama alivyo mpatiliza Farao kwa kumshusha au kumkanya kwa adhabu au kumsamehe.
Uko sawa Pascal
 
Makobasi ndio watu gani ?
 
Lakini pia lile la Mh. Mbowe ndilo hasa hitajio la taifa letu.
'maridhiano ya kitaifa ili kuondoa figisu figisu zisizoisha na siasa za chuki na kukamiana visasi.
 
Lab
Unapowatia jambajamba watesi wako na watukana wako mpaka wakaomba po ,unakuwa unajua unanguvu kuliko wao

Kweli Magufuli amewashika pabaya hao viumbe

USSR
Kijana acha upumbavu,una uhaiika na unayoyasema?
Labda Rais mwenyewe ndo amewaita na kuwasisitiza anaomba mwepo siku ya uhuru na mtakuwa na dakika tano za salamu,
Wewe unabwabwaja tu hapa
 
Acha lerepeche na ukali kama vile uliangalia peke yako... Ule ni upumbavu wa hali ya juu pale...

Ni nini cha ajabu kimefanyika pale ambacho mtu wa kawaida hawez kukifanya au nini cha kushangaza kimefanyika.???

Ule ni ujinga .... Komando mnategemewa na taifa kwa mission ngumu alafu mnatuletea upuuzi kama ule.. Alafu unakuja hapa unavimba unadanganya danganya
 
Onesho hilo limekuwa hovyo sana hivi kweli uokoaji wa namna ile hata kama kiongozi katekwa na panya road hawa makomando wataokoa kweli!!!!?,wamebugi sana,onesho la kitoto
Ulishawai hata kumwokoa kifaranga cha kuku kisichukuliwe na mwewe.
Unabwabwaja tu,kumbuku ayo ni maonyesho tu not real battle rescue.
 
Na ww ni mjinga... uwe unaangalia maonesho ya majeahi ya mataifa mengine...
 
haa haaa haa, noted
 
Lakini pia lile la Mh. Mbowe ndilo hasa hitajio la taifa letu.
'maridhiano ya kitaifa ili kuondoa figisu figisu zisizoisha na siasa za chuki na kukamiana visasi.
Inzi wa green sidhani kama wanalijua hilo midhali wapo kwenye najisi matumbo yao yanapata stahili zake...
 
kwenye mazoezi inapaswa mtu kufanya vizuri na kwa wepesi zaidi maana hafanyi under pressure ila akishindwa kufanya kwenye mazoezi virur si rahisi afanye vema zaidi.
Jitihada inafaa iongezwe kwao
 
Dah hizo ni kauli za mjini yaan inamaana nyingi mfano
1. umefanya kitu cha ovyo,
2. unaleta vitu ambavyo sio sahii,
3. ukiwa mbabaishaji,
unaweza ukaitwa kiwaki kama nikitu cha ovyo ni ukiwaki tunaita nazani hapo utakuwa umeelewa.
Kiwaki-wacky wahuni wametohoa

wacky
/ˈwaki/
adjective
INFORMAL
  1. funny or amusing in a slightly odd or peculiar way.
    "a wacky chase movie"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…