Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Hiv kumbe na weww huwaha mjinga sometimes!!!??Hizo ni porojo tu, Kagame atafaidika kwa kipi na mapinduzi huko Burundi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv kumbe na weww huwaha mjinga sometimes!!!??Hizo ni porojo tu, Kagame atafaidika kwa kipi na mapinduzi huko Burundi??
Hiyo ni kwa wakati huo na Unashupaza shingo, sikiliza hotuba ya kagame na jiulize ni kwa nini Rutto alikimbilia kupiga simu Ufaransa haraka, baada ya mgogoro kutanda upya.Uongo huumbuliwa na facts, France ni mmoja wa maadui wakubwa wa Rwanda. Uongo huu unayabainisha yote uliyoyaandika kuwa null and void.View attachment 3221989View attachment 3221990
JWTZ hawapo Congo kupigana....ni walinda amani.Jw ilikuwa mji wa Sake kuzuia m23 wasifike Goma.
M23 wameiteka Sake yenyewe iliyokuwa inalindwa na tayari Goma iliyokuwa inalindwa na mataifa zaidi ya 10 iko mikononi kwa M23 na sasa wanaelekwa Bukavu kwa kuvimba. Sasa jiulize hao walinzi wa sake wamekimbilia wapi?
Majeshi ya serikali na washirika wake wamekimbia kuokoa roho zao.
Wakati M23 wakisonga mbele hakuna wa kuwazuia. Souz Afrika alitaka kushindana nao akapigigishwa hasara ya askari 13 saiv kuufyata anasubiri huruma za Kagame ili aokote Mairi zake na kukusanya vifaa vyake.
Mkuu ulivoongea kwa hasira mpaka nimecheka kwani watakuja ndani kwako?Hebu wewe Mwenye kitu kilete.Ninyi Nguchiro mmefadhiliwa Tz na mnalipiwa mishahara kwa Kodi zetu afu mnaleta dharau. Na kwa chuki mnayotengeneza Rwanda siku pakichafuka sijui mtaenda wapi
Rudia upya kusoma ulichoandika.Kwa sasa mpango uliopo ni kupitisha operesheni ya kuwaondoa wahamiaji haramu wote ni kuwarudisha nchini kwao, mikoa itakayoanza ni Kigoma, Geita, Katavi, Kagera.
Binafsi siamini katika uimara wa jeshi...naamini katika maudhui mazima ya kupigana.....Watanzania tunaishi sana kwa historia.
Jeshi imara halinunui silaha, jeshi imara ni lile linalotengeneza silaha zake zenyewe.
Ukiwa unanunua silaha, tambua na wenzio wananunua silaha, mkipigana vita mtambue hiyo ni vita baina yenu na wale wanaowauzia silaha.
WaAfrica tuache unyumbu, tusome, tujifunze, tukuze vizazi bora, tupendane, tuache kuwa vibaraka.
Africa hakuna jeshi lenye nguvu, Africa kuna vibaraka tu wa nchi na magenge ya wauza silaha duniani kifupi waAfrica NI wanasesere.
Mkuu humu watu wanaongea kama wamekatwa vichwaJWTZ hawapo Congo kupigana....ni walinda amani.
Ndiyo maana umeona Kagame amewalalamikia SANDF maana waliingizwa mkenge. ......Mlinda amani hajibizani na waasi hadi pale wanapoona maisha yao yapo Katarina....
Ndiyo maana umeona majeshi ya walinda amani wapo Goma sasa hivi na wanapishana na M23 barabarani.
Hivi na wewe unaamini kabisaa JW hawajui kutengeneza hata silaha kama bunduki hizi ambazo huko mapori ya hifadhi zinatengenezwa na vibabu vizee kabisaa??Jeshi lenye nguvu haliwezi hata kushona sare zake lenyewe, halina hata tekinolojia ya kutengezea mabuti ya askari wake wala uwezo wa kutengeza hata gobore!
Acheni ujinga nyinyi na pride ya kiuwendawazimu!.
Majeshi ya waafrika yapo zaidi kulinda watawala wasipinduliwe lakini si kulinda wananchi wala rasilimali zao.
Ndiyo maana watawala wake wanaingia mikataba mibovu ya kuuza rasilimali za nchi na majeshi yapo yanakodoa macho tu!
M23 ni wanyarwanda, hao ni watusi...M23 sio Rwandese ni Congolese 💯
Mkuu humu watu wanaongea kama wamekatwa vichwa
Hao ni Wacongo wenzio....bahati nzuri nimefika maeneo hayo....Vizazi na vizazi wameishi hapo.M23 ni wanyarwanda, hao ni watusi...
Congo hatuna watusi ila Rwanda...
Ni kama watusi walio katavi kule wajiite watanzania, haiwezekani maana kwenye makabira 120 ya bongo hakuna mtusi...
Hawa watusi wanaishi kwenye nchi za watu kwa huruma tu ya wananchi wa nchi hizo....
Kwanini Jaruo na Masai hawasumbuliwi?
Mtusi ana tamaa, ubaguzi na roho mbaya.
Hawana uhalali wa kuishi Tanzania na hiyo inafanyika kwa nchi zote duniani.Rudia upya kusoma ulichoandika.
Ni kipi kinachofanya mtake kufanya operation ya kuwarudisha kwao?
It's too late mzee baba, endelea kukariri.
JWTZ ilikuwa kipindi kile cha akina jenerali Mayunga, ya sasa haiwezi fanya lolote kwa Rwanda
Mkuu hili tatizo naona kama limezidi kwenye majukwaa ambayo watoa maoni ni watanzania. Taarifa sahihi inaweza kuwa sababu japo sioni kuwa ni mara zote. Watu wanapenda upotoshaji zaidi kiasi kwamba watu wenye uelewa wa mambo hawatoi maoni yao kutokana na upotoshaji habari kuwa mkubwa.Internet imesaidia saana kuonyesha aina ya binadamu wanaoishi duniani.
Zamani nilidhani nikiliwa jambo basi asilimia kubwa ya watu nao wanauelewa huo huo.....Nadhani asilimia 90 ya watu hawapati taarifa sahihi ....maana kuelewa mambo lazima upate taarifa sahihi....
Sasa mbona mtazamo wako unakua openly biased?Unajiandikia tu km huna kichwa...
Deep states haziendeshwi hivyo duniani pote. Ukiona majaribio ya mapinduzi yanafeli basi hayo ni maandalizi ya kuingia mapinduzi kamili, ref. Syria.
Unataka kunambia JWTZ ni bora kuliko RDF?. Kwa sasa Rwanda ni nchi yenye intelejensia kali kuliko nchi yoyote Central & East Africa na mbaya zaidi imeweka watu wake katika kila serikali kwenye sekta za maamuzi... Anzia ikulu ya Samia, TISS, JWTZ, JKT, POLICE, mashirika yote muhimu yote ya umma pote huko kuna wanyarwanda kibao wamejazana.
We kuweza Rwanda na JWTZ yako?
Ila hao hao wahamiaji haramu wana uhalali wa kufanya kazi ikulu na taasisi zote nyeti na wana uhuru wa kuuziwa viwanja na kuwa na vitambulisho vya NIDA km watanzania sababu ninyi siyo wabaguzi?Hawana uhalali wa kuishi Tanzania na hiyo inafanyika kwa nchi zote duniani.
RPF ni weak sana kwa JWTZ.
Kama nimeipata hoja yako ni kwamba wewe(assume ni mfipa) ukienda Rwanda ukaishi mda mrefu utaitwa Mnyarwanda?Hao ni Wacongo wenzio....bahati nzuri nimefika maeneo hayo....Vizazi na vizazi wameishi hapo.
Mwaka 1971 mlipokuwa na mgogoro wa uraia ulitokana na nini? Unajua kwamba kifo cha Lumumba viongozi wengi kutoka jamii ya Lumumba waliwalaumu wanyamlenge.
Wakoloni wa kibelgiji ilikiri kati ya mwaka 1920 iliwasafirisha watutsi wengi kwenda kufanya kazi kwenye mashamba yao Eastern Congo. Now tell me....mtu aliyeishi Congo toka 1900 leo 2025 unamwambia sio raia wa Congo does it make sense??
Wewe ni mgumu sana kuelewa.Ila hao hao wahamiaji haramu wana uhalali wa kufanya kazi ikulu na taasisi zote nyeti na wana uhuru wa kuuziwa viwanja na kuwa na vitambulisho vya NIDA km watanzania sababu ninyi siyo wabaguzi?
Nasema hv; It's too late, na Kagame sasa anainyemelea bukoba, ni suala la muda tu!😂
Haihusiani....Kama nimeipata hoja yako ni kwamba wewe(assume ni mfipa) ukienda Rwanda ukaishi mda mrefu utaitwa Mnyarwanda?
Nakuhakikishia utaendelea kuitwa mtanzania na hutokua na haki za msingi kwenye nafasi nyeti serikalini...
Sasa kama ukienda Rwanda inakua hivyo kwanini iwe tofauti kwetu?
Tatizo la Wanyarwanda wameishi na kukua katika propaganda za ukabila, hivyo hawawezi kuacha ni asili yao.Kama nimeipata hoja yako ni kwamba wewe(assume ni mfipa) ukienda Rwanda ukaishi mda mrefu utaitwa Mnyarwanda?
Nakuhakikishia utaendelea kuitwa mtanzania na hutokua na haki za msingi kwenye nafasi nyeti serikalini...
Sasa kama ukienda Rwanda inakua hivyo kwanini iwe tofauti kwetu?
Sasa mbona mtazamo wako unakua openly biased?
Kama wao wameweka watu wao kwetu, nini kinakufanya uamini sisi hatuna watu wetu kwao?
Labda nikujuze tu, pale washington na pentagon wamejaa warus kibao. Na pia pale Kremlin na Lubiyanka wamejaa Americans wa kutosha..
Hivi ndivyo game ya intelligenve inachezwa. Tumia akili