Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Senegal ni mapafu ya mbwaCape Verde!
[emoji20][emoji20][emoji3166][emoji1745][emoji43]
Cape verde mpira ulaya...timu itakayokutana nao wajipangeCape Verde!
😞😞🧐🤷😵
Nani alimleta huyu kocha Tz...
Mbona historia yake mbovu, hana nidhamu au mjomba
Hawa Senegal wa moto sana
Burudaaaani tosha....tanga hyoMara paaap final ni Senegal Vs Morocco
Yan ndo tatz kubwa.Upo sahihi kabisa .
Ni Kama Taifa stars na Tff tu sema cameroon imeizidi stars kwa Kuwa na wachezaji wa daraja la kuu .
Na song Ana uswahili mwingi angalia amemwacha Eric maxim anachezea Bayern Munich .
Makocha wengi wana mawazo ya kujiona ma genius wasiokosea
Eto kacheza mpira ulaya tena kwenye vilabu vikubwa ila anachoifanyia timu ya taifa ni aibu
Huyu jamaa hata kipindi anacheza timu ya taifa alikuwa anachangia sana kuleta migogoro kwenye timuUkifuatilia interview za samuel etoo utagundua ni mweupe sana kichwani
Aliwahi kuulizwa swali dogo la mtego
"Unajisikiaje kucheza timu moja na messi"
Alijibu
"Messi ndiye amecheza timu moja na mimi muulizeni yeye"
Kupitia hili jibu utagundua kuwa Bwana Etoo anaujinga mwingi kichwani hajui kukaa km professional au kiongozi
Etoo alienda ulaya akiwa mtoto mdogo pale real madrid sidhani km amewahi kusoma shule
Kipaji alikuwa nacho sana ila ni mjinga
Kupitia kombe la dunia kwa mchezaji aliyecheza Madrid na Barcelona angeshatambua kuwa Song sio kocha mzuri