2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

IMG_9480.jpeg
 
Upo sahihi kabisa .

Ni Kama Taifa stars na Tff tu sema cameroon imeizidi stars kwa Kuwa na wachezaji wa daraja la kuu .

Na song Ana uswahili mwingi angalia amemwacha Eric maxim anachezea Bayern Munich .
Makocha wengi wana mawazo ya kujiona ma genius wasiokosea
Yan ndo tatz kubwa.

Hlf kaenda bila Recognized no. 9 na yy anajiona sawa kwa kua alikua legend mkubwa.
 
Kwenye mechi ya Senegal Vs Cameroon, huku kocha Aliou Cisse, kule Rigobert Song.
Malegend wanachuana hadi kutokea kwenye mabenchi ya ufundi 👏🏽👏🏽
 
Ukifuatilia interview za samuel etoo utagundua ni mweupe sana kichwani

Aliwahi kuulizwa swali dogo la mtego

"Unajisikiaje kucheza timu moja na messi"

Alijibu

"Messi ndiye amecheza timu moja na mimi muulizeni yeye"

Kupitia hili jibu utagundua kuwa Bwana Etoo anaujinga mwingi kichwani hajui kukaa km professional au kiongozi

Etoo alienda ulaya akiwa mtoto mdogo pale real madrid sidhani km amewahi kusoma shule

Kipaji alikuwa nacho sana ila ni mjinga

Kupitia kombe la dunia kwa mchezaji aliyecheza Madrid na Barcelona angeshatambua kuwa Song sio kocha mzuri
Eto kacheza mpira ulaya tena kwenye vilabu vikubwa ila anachoifanyia timu ya taifa ni aibu
 
Ukifuatilia interview za samuel etoo utagundua ni mweupe sana kichwani

Aliwahi kuulizwa swali dogo la mtego

"Unajisikiaje kucheza timu moja na messi"

Alijibu

"Messi ndiye amecheza timu moja na mimi muulizeni yeye"

Kupitia hili jibu utagundua kuwa Bwana Etoo anaujinga mwingi kichwani hajui kukaa km professional au kiongozi

Etoo alienda ulaya akiwa mtoto mdogo pale real madrid sidhani km amewahi kusoma shule

Kipaji alikuwa nacho sana ila ni mjinga

Kupitia kombe la dunia kwa mchezaji aliyecheza Madrid na Barcelona angeshatambua kuwa Song sio kocha mzuri
Huyu jamaa hata kipindi anacheza timu ya taifa alikuwa anachangia sana kuleta migogoro kwenye timu
 
Nilichogundua ni kwamba Timu nyingi za kiafrica ni mbovu mno hata hii Senegal tunayoiona ni mfalme ila kwa mtu anayejua mpira sitoshangaa hata akisema Senegal inaweza kufungwa na scotland tu tena Home/Away,

Kiufupi africa mpaka tupate timu itakayobeba kombe la dunia ni bado sana Timu za africa zinacheza hovyo tu.
 
Back
Top Bottom