2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Bado saaana
 
Africa tukijikusanya wenyewe akili zinapotea kabisa. Hao akina Mane wanakuwa na akili wakiwa Ulaya huko.

Mpira wetu bado nguvu nyingi kuliko mipango na akili.

Hili kombe hakuna timu yenye level hata ya Poland tu kwa Ulaya.
 
Mimi ni Tanzania tu.

Kama nilivyokuwa na England yangu WC.

Tukitolewa basi.

Mods wapuuzi, walinilamba BAN.
 
Africa tukijikusanya wenyewe akili zinapotea kabisa. Hao akina Mane wanakuwa na akili wakiwa Ulaya huko.

Mpira wetu bado nguvu nyingi kuliko mipango na akili.

Hili kombe hakuna timu yenye level hata ya Poland tu kwa Ulaya.
Misri walicheza vizuri sana baada ya kutoka Salah, ni basi tu ubora wa Kudus ukawapa point 1.
 
Messi ameanza kuingia kikosi cha kwanza Barca amemkuta Etoo ameahafanya makubwa hapo Barca hivo messi ndio alipaswa aulizwe unajisikiaje kucheza na Etoo timu moja

Kuhusu Song, humu tunapiga kelele timu za Africka wapewe wazawa bado wakipewa tunapiga kelele
 
Fatilieni na michuano ya Asia wakuu

Mpira wa Asia unafurahisha sana

Niliangalia mechi ya India vs Australia nimeenjoy sana

Wachezaji wa india walikuwa wanajificha wasipewe pass

India ingeruhusu wahamiaji weusi waende kwao wakabust mpira wao
Mimi niliona memes tu , nikajua kabisa wahindi wametuangusha vibaya sana, japo huwa wanafuta machozi kwenye cricket
 
Ana inferiority complex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…