No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Bado saaanaNilichogundua ni kwamba Timu nyingi za kiafrica ni mbovu mno hata hii Senegal tunayoiona ni mfalme ila kwa mtu anayejua mpira sitoshangaa hata akisema Senegal inaweza kufungwa na scotland tu tena Home/Away,
Kiufupi africa mpaka tupate timu itakayobeba kombe la dunia ni bado sana Timu za africa zinacheza hovyo tu.