2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ivory coast kwa mchezo walioucheza jana watavuka kundi ila watatolewa hatua ya 16 bora kama sio Robo fainali, hawafiki hata Nusu fainali hawa,

wana mpira wa Hovyo tu defense mbovu mno katika maombi yao waombe sana hatua za mtoano wasikutane na Timu kama Egypt au hata Congo tu maana watapigwa nyingi sana itakua ni aibu ya kutupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…