2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hivi kuna timu nyingine kwenye hii michuano ambayo msemaji wake mkuu nj waziri wa michezo kama Stars? Naona ndo anajibu na kutoa maelezo kwa kila kinachoihusu hii timu.
 
Yule kipara wa manchester city ni adui wa manchester united alitunyima uefa mbili bado anekuja sebuleni kwetu kushinda mataji

Nashangaa sana kina ferguson waliruhusu hili litokee

Tuombe ktk sakata la breaching linalomkabili city ashushwe daraja
City dalili za kutushinda zilianza kuonekana mapema tu kipindi kile kile cha kina bellamy na wright phillips tukikutanao walikua wanatusumbua sana.nakumbuka kuna mechi tulipiganao msimu wa 2009/10 pale old trafford tuliwapiga 4 kwa 3 mechi ile walitusumbua sana micheal owen akaja kufunga Goli la ushindi dakika ya 94
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…