uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Mpaka sasa ni Angola 3 - 2 MauritaniaNgapi ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa ni Angola 3 - 2 MauritaniaNgapi ngapi
Si wamchezo mchezo, wamewashtukia Angola.Yaani sisi hata hawa Mauritania wanatushinda kiwango.
kijana anajitaidi sana Ten hag atampa mda wa kutosha
Watachoka.Match ya leo itakua na magoal mengi sanaaa
Nawakubali sana wanangu from Nouakchott..Mauritania ni nchi ambayo sijawahi kuielewa wana tamaduni gani africa magharibi hawafiti wala africa ya kati hawaiingii
Hii nchi ipo kama africa kaskazini/waarabu
Cha ajabu ni kwamba serikali inatuomba tuwe wazalendo kwa Stars wakati Tanesco wenyewe hawana uzalendoTanesco wamenifanya nikose uhondo mechi ya Angola
City dalili za kutushinda zilianza kuonekana mapema tu kipindi kile kile cha kina bellamy na wright phillips tukikutanao walikua wanatusumbua sana.nakumbuka kuna mechi tulipiganao msimu wa 2009/10 pale old trafford tuliwapiga 4 kwa 3 mechi ile walitusumbua sana micheal owen akaja kufunga Goli la ushindi dakika ya 94Yule kipara wa manchester city ni adui wa manchester united alitunyima uefa mbili bado anekuja sebuleni kwetu kushinda mataji
Nashangaa sana kina ferguson waliruhusu hili litokee
Tuombe ktk sakata la breaching linalomkabili city ashushwe daraja
Mechi balaa hiiTanesco wamenifanya nikose uhondo mechi ya Angola
awa watoto wamekaza sana hawataki mchezoDakika 89'
Mauritania 2-3 Angola
ili jamaa lenye breach sio likongoman hiliKile nilichosema kinaonekana sasa